kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Anataka kututaftia tozo ,hiz PhD maliwato hizi shidakweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wanaona gharama za kununua flat screen wanunue hata tv machogo tu . Gharama haiwezi kuwa kubwa kulinganisha na VAR za wenzetu. Waamuzi watumie tu replay ya Azam tv kujiridhisha matukio viwanjani. Mbona ni rahisi tuUmewaza kama mimi,AVR ni replay tu ya tukio,tuanze na zile mechi zinazorekodiwa na azam,hakuna gharama kama watu wanavyodhani zaidi ya Tv screen moja tu
Replay za azam bado sans infact ktk utaalamu wa kurusha matangazo ya mpira bado wapo chini sana...yaani wanategemea Camera moja ya jukwaani kunasa matukio yote ya mpira, kitu ambacho ni cha zamani sanaKama wanaona gharama za kununua flat screen wanunue hata tv machogo tu . Gharama haiwezi kuwa kubwa kulinganisha na VAR za wenzetu. Waamuzi watumie tu replay ya Azam tv kujiridhisha matukio viwanjani. Mbona ni rahisi tu
Ndio maana huko juu pia nikashauri na Azam kuboresha matangazo yao kwa kuongeza camera ili wanapofanya replay mtu aone kila angleReplay za azam bado sans infact ktk utaalamu wa kurusha matangazo ya mpira bado wapo chini sana...yaani wanategemea Camera moja ya jukwaani kunasa matukio yote ya mpira, kitu ambacho ni cha zamani sana