Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
ndioo,nakuja tuyajenge mama
Wazungu wenyewe wanakuja mikono mitupu.Anaongeza Kibubu kwa kupiga karanga na korosho ili wazungu wakitoka wanajaza kikombe cha kahawa.
Mtu mwenye raha kuliko wote duniani[emoji2][emoji1787]
hebu funguka kidogo Ina maana malkia wa Sheba alitafunwa na bwana Suleiman maana tunajua yule bwana ana enjoy Raha za hapa Duniani kuliko mtu yeyote yule kumbe ndio hivyo eenhe wanasema ilikuaje kuaje?Tanzania WikiLeaks huko Twita imesema kuwa huyu ni kifaa cha mammy! akatoa na picha wamekumbatiana enzi hizo. sijui kama ni kweli au majungu. Akaendelea kusema kuwa sahau kumpeleka mahakamani