Daudi akiwa ana play low key mtaani

Daudi akiwa ana play low key mtaani

Fala kanona huyu kawazidi watoto wa kike kibao. Huyu jela anaishi kwa raha mustarehe
 
Tanzania WikiLeaks huko Twita imesema kuwa huyu ni kifaa cha mammy! akatoa na picha wamekumbatiana enzi hizo. sijui kama ni kweli au majungu. Akaendelea kusema kuwa sahau kumpeleka mahakamani
hebu funguka kidogo Ina maana malkia wa Sheba alitafunwa na bwana Suleiman maana tunajua yule bwana ana enjoy Raha za hapa Duniani kuliko mtu yeyote yule kumbe ndio hivyo eenhe wanasema ilikuaje kuaje?
 
Back
Top Bottom