Daverneius Jaimes a.k.a Dj khaled...

[emoji15] [emoji15] [emoji15] Duh.. mashairi huwa anaandika yeye basi sawa..
 
Jina lake ni Khaled Mohammed Khaled, amezaliwa New Orleans, Luisiana November 26, 1975 wazazi wana asili ya Palestine[emoji116]
DJ Khaled - Wikipedia wikipedia ziko wazi kwanini tudanganyane
 
 
Bro, ungebadili hapo kwenye jina maana dizain kama umepoteza hiviii.
 
i feel like pac, i feel like biggie
i got keys
im so hood
fed up
major bag alert
THAT RANGE ROVER CAME WITH STEPS
Point of corection it's major key alert and not major bag alert
 
Hatengenezi beat, haandiki mashairi anatoa idea tu ya wimbo
 
Mkuu heb tuje kibiashara zaidi, sasa nani anakua mmiliki wa nyimbo hapo kati ya yeye na hao anawashirikisha? Mapato wanagawana vipi? Show inakuaje endapo ku-perform watahitajika wawepo crew nzima walioshiriki kwny colabo? Na ningependa kujua je haijawahi kutokea skendo yoyote km alishawah kuwadhulumu wenzake mapato?
 

Mmiliki ni yeye.... ndio maana utaona Dj Khaleed ft....... japo waimbaji ni wengine..... kwa kua yeye ndie mmiliki nadhan swali la mapato ushalipata....
Akiandaa show wale waimbaji watakuwepo japo sio lazima wao wawepo maana kumbuka hua anawatumia waimbaji wakubwa so obviously na wao watakua na ratiba zao.

Hana skendo ya kudhulumu ndio maana mpk leo yupo juu na wasanii wanamtrust.
 
Pamoja na work ethic, nyingine kati ya qualities(?) kubwa sana za Khaled ni kujishusha na kujipendekeza. Jamaa yuko aggressive akitaka kitu, na mara nyingi ni kero. Ndio maana amefanikiwa kupata mpaka collabo na Hov & missus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…