Daverneius Jaimes a.k.a Dj khaled...

Daverneius Jaimes a.k.a Dj khaled...

[emoji15] [emoji15] [emoji15] Duh.. mashairi huwa anaandika yeye basi sawa..
 
Jina lake ni Khaled Mohammed Khaled, amezaliwa New Orleans, Luisiana November 26, 1975 wazazi wana asili ya Palestine[emoji116]
DJ Khaled - Wikipedia wikipedia ziko wazi kwanini tudanganyane
 
Hatengenezi beat wala hatungi nyimbo.. anatoa mawazo au jina la nyimbo na kutafta biti kali kwa maproducer mbali mbali akiiskia anawaza nani anafiti apa fresh anawaita then ana changia maujuzi kidogo kwenye biti nyimbo na vionjo... lakini hamna kitu anafanya complite. baada ya apo anapga promo ya nyimbo na kuuza
 
Bro, ungebadili hapo kwenye jina maana dizain kama umepoteza hiviii.
 
Hatengenezi beat, haandiki mashairi anatoa idea tu ya wimbo
 
Mkuu heb tuje kibiashara zaidi, sasa nani anakua mmiliki wa nyimbo hapo kati ya yeye na hao anawashirikisha? Mapato wanagawana vipi? Show inakuaje endapo ku-perform watahitajika wawepo crew nzima walioshiriki kwny colabo? Na ningependa kujua je haijawahi kutokea skendo yoyote km alishawah kuwadhulumu wenzake mapato?
 
Mmiliki ni yeye.... ndio maana utaona Dj Khaleed ft....... japo waimbaji ni wengine..... kwa kua yeye ndie mmiliki nadhan swali la mapato ushalipata....
Akiandaa show wale waimbaji watakuwepo japo sio lazima wao wawepo maana kumbuka hua anawatumia waimbaji wakubwa so obviously na wao watakua na ratiba zao.

Hana skendo ya kudhulumu ndio maana mpk leo yupo juu na wasanii wanamtrust.
 
Pamoja na work ethic, nyingine kati ya qualities(?) kubwa sana za Khaled ni kujishusha na kujipendekeza. Jamaa yuko aggressive akitaka kitu, na mara nyingi ni kero. Ndio maana amefanikiwa kupata mpaka collabo na Hov & missus.
 
Back
Top Bottom