producer mkali, Dj mkali, na pia ni mwandishi mzuri wa mashairi ya muziki hapa namzungumzia dj khaleed (Daverneius Jaimes) kwa upande wa hukoo, ughaibuni nchini marekani.
ni miongoni mwa ma-dj wakali na producer mzuri wa muziki nchini marekani. pia ni mtangazaji wa redio katika kituo cha redio ya WEDR.
huyu jamaa anachonishangaza ni hii talent aliyonayo ni kuwa mara nyingi yeye huwa haimbi sana ila anatunga nyimbo,anashirikisha wasanii wengi (bonge moja la kolabo), halafu yeye pia ndo producer. akitoa kitu basi ni bonge moja la hit song balaa
Hizi ni moja wapo ya ngoma ambazo jamaa kazifanya na mara nyingi sichoki kuziskiliza au kuzitazama;
Dj khaleed - do you mind ft chris brown,nicky minaj,august alsina,future,jeremih,rick ross.
Dj khaleed - hold you down ft chris brown,august alsina,future,jeremih.
Dj khaleed - I am the one ft justin beiber,quavo,chance the rapper,lil wayne.
nazikubali sana hizi ngoma na hizi ni chache tu,, hapo utamsikia tu ni ,'another one,,we the best music' halaf utaskia,' dj khaleeeed', na vimaneno vyake vidogovidogo huku muziki ukiendelea huwa ananifurahisha sana.
hebu taja nyimbo zingine unazozikubali za huyu jamaa.....