Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Kuna muda unaweza sema ni utumwa na muda mwingine unaona sio utumwa maana inategemea na mazingira ya kazi ya muhusikaKuajiriwa ni utumwa?
NdioKumbeee
Kuna biashara au shughuli natamani kuzifanya ni ninahisi zina masilahi ila upande wa dini unakuta dini hairuhusu basi naamua kuachaKivipi dini imekurudisha nyuma kimaendeleo!
Wewe Muislamu au Mkristo?Kuna biashara au shughuli natamani kuzifanya ni ninahisi zina masilahi ila upande wa dini unakuta dini hairuhusu basi naamua kuacha
Wewe Muislamu au Mkristo?
NDIO ila sio kwa shida zangu binafsi, huwa nacheza mpira sasa kula ligi tulikua tunashiriki viongozi walitupeleka kwa mganga ili tupate ushindiUliwahi kwenda kwa mganga
Fredrickjina lako la kiserikali ni lipi
Muislamu mkuu
Unatoa risiti kwa kila bidhaa unayouza? Unalipa kodi unayostahili kulipa?Kuna biashara au shughuli natamani kuzifanya ni ninahisi zina masilahi ila upande wa dini unakuta dini hairuhusu basi naamua kuacha
Fredrick....Muislam.Fredrick
Shahada ya Usimamizi wa biasharaWaweza elezea kiwango cha elimu yako na fani?
Sio kumuhonga mkuu nilimpa ilikua ni Elf50 muda kidogoKiwango kikubwa ulichowahi kumuhonga mwanamke ni kipi
Kuna muda natoa kuna muda sitoi ata kodi hvyo hvyoUnatoa risiti kwa kila bidhaa unayouza? Unalipa kodi unayostahili kulipa?
Ndio mkuu hii inatokana na sababu za kifamilia upande mmoja waislamu upande mwingine wakristo na baba na mama hawaishi pamojaFredrick....Muislam.
Nakushauri shughuli unayosita kuifanya kisa dini ifanye tu. Kukwepa kodi au cheating yoyote dini hairuhusu.Kuna muda natoa kuna muda sitoi ata kodi hvyo hvyo