Davet live interview on DJ sepetu show!

Davet live interview on DJ sepetu show!

Davet wenzio kariakoo wamefunga maduka kisa biashara sio nzuri. Siri yako ni nini kiasi cha wewe kuweza kuhimili mtikisiko wa awamu hii?
Nikweli kabisa mkuu hali ya biashara kwa sasa ni mbaya sana yani sio uongo, ila mm nimejitahidi sana kua mvumilivu japo huwa kunawakati nataka kukata tamaa. UVUMILIVU ndio siri kubwa
 
Mtaji ukikata kodi ya pango huwezi kulipa uvumilivu utasaidia nini?
 
Hukutegemea kupata kitu chake!?
Wapenzi gani unapenda kuwa kama wao jf l mean couple bora

Nifa|bold
DJ sepetu|joanah
Smart911|mahondaw
Khakhakhaaaaaaa... [emoji23] [emoji23] I expect as usual lol...... Why... Kwaniniiiiiiiiiii [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Cc Smart911
 
Nikweli kabisa mkuu hali ya biashara kwa sasa ni mbaya sana yani sio uongo, ila mm nimejitahidi sana kua mvumilivu japo huwa kunawakati nataka kukata tamaa. UVUMILIVU ndio siri kubwa
Daah awamu hii biashara ni tatizo kubwa.
Leo nilitembelea sehemu moja maarufu kwa nyama choma na vinywaji.
Siku za nyuma ilikuwa vigumu kupata sehemu ya kupark gari, nafasi ya kukaa pia ilikuwa ni taabu mno.
Lakini leo wateja tulikuwa hatuzidi 7.

Nilipofika nilifikiri biashara imefungwa.
 
Hatari sana mkuu yani ukiwa nje ya huu mchezo unaweza chukulia poa ila uhalisia nikwamba hali kibiashara ni mbaya sana
 
Back
Top Bottom