Dogo lake na mzee wa chattle nini?Dah! Ngoja tuone maana mimi nimezoea kujichukulia sheria mkononi sinaga democracy kabisa
Nikweli kabisa mkuu hali ya biashara kwa sasa ni mbaya sana yani sio uongo, ila mm nimejitahidi sana kua mvumilivu japo huwa kunawakati nataka kukata tamaa. UVUMILIVU ndio siri kubwaDavet wenzio kariakoo wamefunga maduka kisa biashara sio nzuri. Siri yako ni nini kiasi cha wewe kuweza kuhimili mtikisiko wa awamu hii?
Muda ninaokua free mara nyingi huwa natumia kutafakari zaidi mustakabali wa maisha kwa ujumla, movies natumia sana ila hasa huwa nakua JF mara nyingiVizuri,ikiwa ambavyo huna mke labda unatumia njia ipi kucontrol mihemko!
Na pia unautumia vipi muda wako Wa free
Mtaji ukikata kodi ya pango huwezi kulipa uvumilivu utasaidia nini?Nikweli kabisa mkuu hali ya biashara kwa sasa ni mbaya sana yani sio uongo, ila mm nimejitahidi sana kua mvumilivu japo huwa kunawakati nataka kukata tamaa. UVUMILIVU ndio siri kubwa
Khakhakhaaaaaaa... [emoji23] [emoji23] I expect as usual lol...... Why... Kwaniniiiiiiiiiii [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Hukutegemea kupata kitu chake!?
Wapenzi gani unapenda kuwa kama wao jf l mean couple bora
Nifa|bold
DJ sepetu|joanah
Smart911|mahondaw
Daah awamu hii biashara ni tatizo kubwa.Nikweli kabisa mkuu hali ya biashara kwa sasa ni mbaya sana yani sio uongo, ila mm nimejitahidi sana kua mvumilivu japo huwa kunawakati nataka kukata tamaa. UVUMILIVU ndio siri kubwa
SwirrrDavet mie kesh ndo nitakuuliz
Biashara ina mwezi wa kismat mkuu sio kila siku mambo yanabana kwahyo mambo yakibana navumilia, kuhusu ulipaji wa kodo ni jambo la msingi umeliongea na kwasasa nimeshaanza kutanua wigo wa biashara yangu nje ya k/kooMtaji ukikata kodi ya pango huwezi kulipa uvumilivu utasaidia nini?
Karibu.. ila kwani kikaango kinaendelea hadi kesho?Davet mie kesh ndo nitakuuliz
tehteehh....[emoji12]Anzeni basi wadau simu inataka kukata moto
ndo ratib za dj hiz kam kun mabadiliko nijulishwe pleaseKaribu.. ila kwani kikaango kinaendelea hadi kesho?
Hatari sana mkuu yani ukiwa nje ya huu mchezo unaweza chukulia poa ila uhalisia nikwamba hali kibiashara ni mbaya sanaDaah awamu hii biashara ni tatizo kubwa.
Leo nilitembelea sehemu moja maarufu kwa nyama choma na vinywaji.
Siku za nyuma ilikuwa vigumu kupata sehemu ya kupark gari, nafasi ya kukaa pia ilikuwa ni taabu mno.
Lakini leo wateja tulikuwa hatuzidi 7.
Nilipofika nilifikiri biashara imefungwa.
Good good fred[emoji122] [emoji122] [emoji122][emoji122]Fredrick