Davet live interview on DJ sepetu show!

Mbona wote uliowalist ni majike, wanaume si ruhusa kufatilia uzi wako?
dimaa bhana una hakika wote hao ni she!

Halafu kuwa mstarabu jike ni mnyama!
 
Asante vipi ukitaka kuwatag wengi!
 
Huyu mshikaji noma

Alimchukua demu hadi yard ya kuuza magari akamwambia mwanamke chagua gari yeyote utakayo mwanamke akachagua gari ya thamani ya million 89 jamaa akaandika check akampa muuzaji!
Muuzaji akawaambia gari wataichukua jumatatu hadi wahakikishe fedha benki ipo!

Jamaa akammiliki yule mwanamke weekend nzima juma3 demu kwenda yard kuchukua gari anaambiwa account ya jamaa yake haikuwa hata mia!

Ukijifanya mjuaji utakutana na waliopinda acha uchunaji!
 

Nani tena huyo mshikaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…