Davet live interview on DJ sepetu show!

Davet live interview on DJ sepetu show!

Em screen shots nikuoneshe
IMG_20180311_122146_406.jpg
 
Nikueleweshe kwa lugha nyepesi kumtag mtu ili apate notification inabidi unaweka @ halafu unaandika jina la mtu pasi kuacha nafasi wala kukosea herufi.

Hivyo kule anapata ujumbe ila huyo wa kupata ujumbe mpaka awe mtumiaji wa Web kama ni App hawezi pata huo ujumbe.

Hivyo yaani.
Asante vipi ukitaka kuwatag wengi!
 
Huyu mshikaji noma

Alimchukua demu hadi yard ya kuuza magari akamwambia mwanamke chagua gari yeyote utakayo mwanamke akachagua gari ya thamani ya million 89 jamaa akaandika check akampa muuzaji!
Muuzaji akawaambia gari wataichukua jumatatu hadi wahakikishe fedha benki ipo!

Jamaa akammiliki yule mwanamke weekend nzima juma3 demu kwenda yard kuchukua gari anaambiwa account ya jamaa yake haikuwa hata mia!

Ukijifanya mjuaji utakutana na waliopinda acha uchunaji!
 
Nani tena huyo mshikaji
 
Back
Top Bottom