Davet live interview on DJ sepetu show!

Davet live interview on DJ sepetu show!

Nini kilikuleta jf,umekipata?
Maisha yako nje ya jf yakoje!
Mf ratiba yako ya siku
Nilikuja JF kwasababu ni sehemu ambayo naweza kuongea na kutoa maoni yangu kwa uwazi zaidi tofauti na sehemu nyingine pia watu wa JF wanajitambua zaidi kuliko kwingine. Na kuhusu kukipata nilicho kifata JF nimekipata na ninazidi kukipata.

Maisha yangu nje ya JF ni simple tu.... nikiamka asubuhi mazoezi muhimu ndio niangalie kwa siku hiyo nina majukumu gani ili nianze kuyakamilisha. Huwa sina mambo mengi sana kusema yananiweka bize muda mwingi
 
Emmyta au sky eclat
 
Back
Top Bottom