Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
AiseeeHahah!! Haitakua sawa mkuu kutokana na kwamba wapo wengi kwahiyo nikitaja tu itaniharibia ata mitego yangu
Kumbe we player eenh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeeHahah!! Haitakua sawa mkuu kutokana na kwamba wapo wengi kwahiyo nikitaja tu itaniharibia ata mitego yangu
Aminaaaaa hallelujah!!! [emoji106] [emoji106] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Mapenzi huanza popote pale kwahiyo kupata mwenza bora jf naamini inawezekana kabisa...
Member wa kike wanaovuta moyo wangu shati wapo tu hawawezi kosekana, siunajua tena sisi wanaume kambi popote
Hahah!! Sio hivyo bhn maana sijasema nawamiliki ila tu kuwish kuanao..... tutayamaliza baadae mm na wewe hatudhurianiAiseee
Kumbe we player eenh
Akhuu sitaki mie tutayamalizaje una mnyororo wakoHahah!! Sio hivyo bhn maana sijasema nawamiliki ila tu kuwish kuanao..... tutayamaliza baadae mm na wewe hatudhuriani
Khakhakhaaaaaaa dijeisepetu na maswali yake ya mitego.. Namuona namuona lol [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ataka kukufukuzia ndege wako bureeHahah!! Haitakua sawa mkuu kutokana na kwamba wapo wengi kwahiyo nikitaja tu itaniharibia ata mitego yangu
Si amesema anatamani wengiUmejuaje?
Naomba kuweka sawa mambo kidogo, mkuu lakini sijasema kwamba mimi ni dhaifu kwa wanawake... lakini pia udhaifu wangu mm ni aibuHahaha bora umekuwa mkweli!
Wewe udhaifu wako mbali na wanawake ni upi!
Tukio gani la kushangaza uliwahi fanya
Sina mnyororo lakini nmekua mkweli tu kua ni matamanio jmnAkhuu sitaki mie tutayamalizaje una mnyororo wako
Utaandamana 26 April!?Naomba kuweka sawa mambo kidogo, mkuu lakini sijasema kwamba mimi ni dhaifu kwa wanawake... lakini pia udhaifu wangu mm ni aibu
Tukio la kushangaza ambalonimewahi kulifanya kwa kumbu kumbu zangu za haraka acha nielekee upande wa michezo, niliwahi kufunga goli zuri kila mtu alishangaa lakini ni katika mechi ya mpira wa miguu
Sitoandamana kwasababu hiyo tarehe nitakua safarini mkuuUtaandamana 26 April!?
Kwanini
Hahah ni kweli mkuuHilo gori ni balaa cr7 asingeweza kufunga
Kimuonekano napenda awe vizuri tu kiasi kwamba kila mtu akimuona aseme kweli jamaa kaoa, nadhani ushanielewaDuh! Unapenda mkeo mtarajiwa awaje kimuonekano pia tabia