Davet live interview on DJ sepetu show!

Davet live interview on DJ sepetu show!

Changamoto kubwa inayokabiri biashara yangu mkuu kwanza kabisa biashara yangu ninayoitegemea ipo kariakoo kwahiyo pale gharama za uendeshaji zipo juu sana, pia viongozi wa eneo husika wanapenda sana kutengeneza mazingira ya wao kupata pesa kupitia biashara yangu
Wewe umejipangaje ili kuendana na mazingira?
 
Back
Top Bottom