Davet live interview on DJ sepetu show!

Davet live interview on DJ sepetu show!

Basi ulitisha sana rafiki na mimi sijataka kukuangusha
Hahahaa. Ila sikuwa na nafasi ya kuifuatilia moja kwa moja.

Ila dole gumba langu limehusika katika kulibonyeza mwanzo mwisho na hiyo ni ishara ya kwamba hukuandika Upupu. Teh.
 
Back
Top Bottom