David Alaba beki wa Austria nusu mnigeria na mfilipino

David Alaba beki wa Austria nusu mnigeria na mfilipino

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,265
Reaction score
20,526
Aliyekuwa beki machachari wa Bayern Munich na Real Madrid na beki wa timu ya taifa ya Austria David Alaba baba yake ni Mnaigeria na mama yake ni Mfilipino.

Wachezaji wengine asili ya Nigeria wanachezea timu za nchi za ulaya ni.

Jamal Musiala. Ujerumani
Karim Adeyemi. Ujerumani
Michael Oliseh. Ufaransa

Senior JF local and international football analyst and correspondent!

Bachelor of Arts, UDSM

Nyau de adriz
 
Nchi Ina matatizo kibao wewe unavuta bange na kuleta mada kama hizi , hivi una akili wewe Nyabumbu ?
 
Kuna mchezaji mwingine wa Austria anaitwa Chukwuemeka. Bila shaka naye ana asili ya Nigeria
 
Back
Top Bottom