kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,695 Reaction score 20,633 Apr 25, 2021 #1 Wazee tulio angalia mpira wa Azam vs Yanga huyu kijana BRAYSON naomba kupewa CV yake kwanini haitwi national team? Mbona hapewi heshima anayostahili? Azam mtunzeni huyu kijana ni natural Talent.
Wazee tulio angalia mpira wa Azam vs Yanga huyu kijana BRAYSON naomba kupewa CV yake kwanini haitwi national team? Mbona hapewi heshima anayostahili? Azam mtunzeni huyu kijana ni natural Talent.