David cameron vs tanzania

David cameron vs tanzania

portability

Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
16
Reaction score
9
Toka Waziri wa Uingereza kutoa masharti ya misaada kwa nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania kwamba lazima tukubali mambo ya ubaradhuli na usagaji.
Mbona mpaka sasa Rais JK hajasema chochote kama Rais wa Ghana alivyothubutu kusema hadharani kwamba hakubaliani na hilo?
Je',kwa nchi ya Tanzania Waziri Membe ndiye msemaji mkuu wa serikali? is the president so buusyyyyyyy to talk of the matter to the nation? what should the Tanzanians read with his silence?!
 
Back
Top Bottom