David De Gea Is "Underated".Ndio Golikipa Bora Kwa Sasa Duniani

David De Gea Is "Underated".Ndio Golikipa Bora Kwa Sasa Duniani

Mtu Tajiri

Senior Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
150
Reaction score
180
Kuna Watu wanasema Bwana Manuel Neuer Ndio Golikipa Bora Duniani.Sikatai,Lakini hiyo ni kwa Miaka iliyopita Lakini kwa sasa Hiyo Heshima anayo David

Sema Tu kinachomwangusha ni Man u kutofanya Vizuri.Na hili si Kosa Lake bali kwakweli Wanaume wengine 10 wanaokua pa1 naye Ndo humwangusha.Lakini yy hufanya Kazi iliyotukuka kabisa.Man U ingekua Inafanya Vizuri na Timu yake ya Spain pia Ifanye Vizuri Hakika huyu Bwana angepewa Heshima yake.

Ninukuu tu alichosema Mwandishi wa Michezo Nguli Kabisa hapa Nchini kwamba huyu Bwana Anaweza hata "kuzuia Risasi ya Moto ".Na Mimi Nasema Ni Ukweli kabisa.

He 's The World best Goalkeeper Right now.Sema tu Wengi hawaipendi Man U kutokana na Mafanikio yake
 
Naunga mkono hoja mkuu nikiwa kiti cha mbele kabisa.
 
kwa beki ile hata AISHI MANULA atakuwa namba moja na uzuri jamaa hawana yale magoli ya kichawi ya kina MSHANA JR
 
Safi tu kwan kuna shida?
Hata Deulofeu anakiwasha Epl mbona au point yako n nini?

Ile game ya Chelsea tu ndio amekuwa anikiwasha [emoji15][emoji15] sio huyo aliflop Everton akasepa zake Point yangu uwezi tuambia de gea ni mzuri koz anakutana na giroud wakati uko la liga kuna kina aspas, zaza utakuwa umenipata najua
 
Kuna Watu wanasema Bwana Manuel Neuer Ndio Golikipa Bora Duniani.Sikatai,Lakini hiyo ni kwa Miaka iliyopita Lakini kwa sasa Hiyo Heshima anayo David

Sema Tu kinachomwangusha ni Man u kutofanya Vizuri.Na hili si Kosa Lake bali kwakweli Wanaume wengine 10 wanaokua pa1 naye Ndo humwangusha.Lakini yy hufanya Kazi iliyotukuka kabisa.Man U ingekua Inafanya Vizuri na Timu yake ya Spain pia Ifanye Vizuri Hakika huyu Bwana angepewa Heshima yake.

Ninukuu tu alichosema Mwandishi wa Michezo Nguli Kabisa hapa Nchini kwamba huyu Bwana Anaweza hata "kuzuia Risasi ya Moto ".Na Mimi Nasema Ni Ukweli kabisa.

He 's The World best Goalkeeper Right now.Sema tu Wengi hawaipendi Man U kutokana na Mafanikio yake

Hapana kwa sasa hakuna kipa kama Jan Oblak hata bei ya sokoni na clean sheets kamuacha de gea kwa mbali sana.... Huyo de gea alikuwa mzuri sana alipokuwa atletico madrid siku hizi sio kivile
 
Man Utd ina mashabiki wengi sana duniani...
Pia mashabiki wake ni wapiga kelele sana..!
Kuhusu ubora wa De Gea,jamaa ni kipa mzuri sanaaaa..!
Ila mtoa mada na wengine mnaodhani De Gea ni kipa bora duniani lakini hapewi heshima yake,ni vyema mkafanya kumfuatilia kipa wa Atletico Madrid...!
Anaitwa Jan Oblak,huyo ndio maana halisi ya underrated goalkeeper..!

Kama Man City inavyokuwa underrated kwasababu ya kukosa mashabiki wa kutosha,ndivyo Jan Oblak anavyokuwa underrated kwasababu hiyo hiyo..!
 
Back
Top Bottom