David De Gea ni golikipa bora wa wakati wote...

David De Gea alizaliwa tarehe 7 Nov. 1990 huko Uhispania.Ni golikipa wa timu ya taifa ya Uhispania na klabu cha Manchester United cha huko Uingereza.

Kwa upande wangu namuona mtu huyu kama golikipa bora wa wakati wowote....
Ni golikipa mahiri sana hilo halina ubishi! Lakini nina mashaka kama unaelewa unachomaabisha kwa kusema "...wa wakati wote".
 
jose luis chilavert nimeikumbuka mechi yao 1998 wc na wafaransa aisee mziki wa france ulipelekwa hadi extra time wakaokolewa na goli la dhahabu
 
Hoja yake inalingana na jibu alilopewa,huwezi kutoa post upupu kama hii alafu usilipwe unachostahili,mimi naona atafute kwanza levo za kina manula na kabwili ndio tuanze kumpambanisha na angalau kina oblak na cabalelo
,
yaan bora tena hata posit pumba zisiwe zinachangiwa....wewe utokw huko ulikotoka usema degea ni bora halafu huweki takwimu mahususi za kusapoti hoja yako....haya mambo ya ushabiki haya
 
Mimi nilijua Zamani Kuwa JF imeshapoteza Hadhi Yake!
Imevamiwa na Hawa Madogo Wanaopost tu alimradi Apate like na Replies nyingi.
Mode nyuzi hizi za Kupuuzi futeni zisiwavunjie heshima yenu ya JF.
 
jose luis chilavert nimeikumbuka mechi yao 1998 wc na wafaransa aisee mziki wa france ulipelekwa hadi extra time wakaokolewa na goli la dhahabu
Swadakta andiko lako ulikuwa mpera mpera wa maana huku fabian bathez akipigwa busu kipara chake.
 
Sababu ni zip za msingi? Lete takwimu, mafanikio yake ni yapi katika team ya taifa na club? Tuambia alichowazid akina neur,buffon,casillas, van de sa, khan na wengineo
Hata yule mzee wa arsenal anamzid kwa takwim
 
Kuna renee higuita yule w COlombia pia mkuu
 
David De Gea alizaliwa tarehe 7 Nov. 1990 huko Uhispania.Ni golikipa wa timu ya taifa ya Uhispania na klabu cha Manchester United cha huko Uingereza.

Kwa upande wangu namuona mtu huyu kama golikipa bora wa wakati wowote....

upo sawa kabisa mkuu, ni mtizamo wako
 
Huna haja ya kupewa jibu jingine zaidi ya ulilopewa. Tena kama ni bangi ulivutishwa ukingali tumboni. Au unaposema wakati wote una maana ipi?

I
Bangi haipo ivo,,, watu wanaovuta bangi wengi wao wapo upstairs Sana tofauti na mnavofklia,,, huyu mtoa Mada kaanza kufatilia mpira Zama hz za betting dat all
 
Sio bora wa wakati wote Lakin tuwe wakweli,Hakuna Golikipa anayemfikia huyu Mwanaume kwa sasa.Sema tu Mafanikio mabaya ya Man u ndo yanamwangusha
Unamjua manuer neur? Huyo degea bado sana kwa hilo jini la kijeruman, lina kila sifa, penat ni fundi, kulia kushoto twende, one against one twende, soon linarud ,liliumia, kwa kizaz cha sasa NEUR ni hatari,
 
Acha upuuzi wewe, kwa mataji gani haswa aliyo shinda
 
Pumbavu we mtoto wa Jana , shenzi sina cha kuchangia Zaid ya hicho
 
Kwa kifupi hamfikii hata van Der sir
Wakati van de ser haingii kwa Kina Buffon , Marcos (1990-1998 BRAZIL), Peter shmichel ,
Fabian Bathez , Lehman German and Arsenal , Oliver Khan German,

Yaan wewe utakuwa mpuuzi , au mtoto wa kwenye zipu za Utandawazi, au basi ni mwanamke anayewachanganya Rooney na Walcott
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…