manchoso
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 1,605
- 2,055
mchukue na huyo kiazi mwezio muende lile jukwaa pendwa tutoleeni mashudu yenu hapaKale limao na chumvi utulize mawenge!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mchukue na huyo kiazi mwezio muende lile jukwaa pendwa tutoleeni mashudu yenu hapaKale limao na chumvi utulize mawenge!
mchukue na huyo kiazi mwezio muende lile jukwaa pendwa tutoleeni mashudu yenu hapa
Hiyo picha ndyo inaonyesha ubora wake?
HUYU HAMFIKII HATA KASEJA HAMFIKII KWA UBORA WA MIAKA MINGI
umemsahau na mkongwe Van de Sal chiefLicha ya kipaji kikubwa alichonacho bado DDG ana safari ndefu ya kufikia mafanikio ya kuwa golikipa bora wa muda wote.
Kufika level ya nyanda Levy Yashin sio jambo jepesi, kwanza kabisa kwasasa anahitaji kufikia na kupita level za akina Casillas, Buffon na hata Neuer.
Kisha ndio tuanze kumlinganisha na mtu kama Levy Yashin, Dino Zoff na hata Gordon Banks!
kweli mkuu van de sar alikuwa hatariumemsahau na mkongwe Van de Sal chief
Wa marekani ya kusini ni Rene heiguita alikuwa mtu wa maskhara sana na uwezo pia alikuwa nao ingawa mbwembwe na madoido yake waqt mwingine ulikuwa unamtokea puani. Pia alikuwepo Jose luis chilavert huyu nyanda lakini kila mwisho wa msimu alikuwa na goli zake kadhaa kwa kupitia mipira iliyokufa. Anakumbukwa kwa kupenda kuibusu medali yake ilokuwa inakaa nyuma ya goli.oliva kan neuer schimichael cassilas na kuna mmoja hivi wa america kusini alikuwa na mbwembwe sana ngoja nimkumbuke
hatari sanakweli mkuu van de sar alikuwa hatari
![]()
fala kweli weweDavid De Gea alizaliwa tarehe 7 Nov. 1990 huko Uhispania.Ni golikipa wa timu ya taifa ya Uhispania na klabu cha Manchester United cha huko Uingereza.
Kwa upande wangu namuona mtu huyu kama golikipa bora wa wakati wowote....
Chillavetioliva kan neuer schimichael cassilas na kuna mmoja hivi wa america kusini alikuwa na mbwembwe sana ngoja nimkumbuke
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Matatizo ya kufatilia mpira kwa njia ya kubeti haya
Vijana wana shida kweli kweli hawa[emoji16] [emoji16] [emoji16]