David De Gea ni golikipa bora wa wakati wote...

David De Gea ni golikipa bora wa wakati wote...

mchukue na huyo kiazi mwezio muende lile jukwaa pendwa tutoleeni mashudu yenu hapa
David-De-Gea-1164236.jpg
 
Licha ya kipaji kikubwa alichonacho bado DDG ana safari ndefu ya kufikia mafanikio ya kuwa golikipa bora wa muda wote.

Kufika level ya nyanda Levy Yashin sio jambo jepesi, kwanza kabisa kwasasa anahitaji kufikia na kupita level za akina Casillas, Buffon na hata Neuer.

Kisha ndio tuanze kumlinganisha na mtu kama Levy Yashin, Dino Zoff na hata Gordon Banks!
umemsahau na mkongwe Van de Sal chief
 
oliva kan neuer schimichael cassilas na kuna mmoja hivi wa america kusini alikuwa na mbwembwe sana ngoja nimkumbuke
Wa marekani ya kusini ni Rene heiguita alikuwa mtu wa maskhara sana na uwezo pia alikuwa nao ingawa mbwembwe na madoido yake waqt mwingine ulikuwa unamtokea puani. Pia alikuwepo Jose luis chilavert huyu nyanda lakini kila mwisho wa msimu alikuwa na goli zake kadhaa kwa kupitia mipira iliyokufa. Anakumbukwa kwa kupenda kuibusu medali yake ilokuwa inakaa nyuma ya goli.
 
Dino Zoff?!
Lev Yashin?!
Kwanza mimi kwa mpira wa miaka hii kipa bora ni Neuer,De Gea anafuatia hapo!
So kuwa kipa bora labda kipa bora miaka yote Hispania ambako bado Kuna kina Andoni Zubizarreta,Iker Casillas ambao inabidi awafikie kwanza!!!
 
Back
Top Bottom