David Djumbe asema kiongozi wa waliomteka alikuwa akiongea lafudhi ya ki Zanzibar

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Tukiwa tunasubiri uchunguzi wa police
Nimeshtuka kauli ya David Jumbe kuwa alisikia lafudhi ya aliyekuwa akiongoza genge la waliomteka alikuwa Mzanzibari

Na alisisitiza kuwa Jumbe asipelekwe police Bali apelekwe Kwa boss akauwawe

Hii ni mbaya sana

Wazanzibar kuingia Tanganyika na kuendesha utekaji na mauaji
Hili Halina afya katika muungano

Wazanzibar wana hasira za nini na Watanganyika

Natumai police watawabaini hao wahuni ili umma wa Watanzania uwajue
 
Polisi gani watawabaini? si kama unavyofikiria. Wote hao ni CCM.
 
Tukiwa tunasubiri uchunguzi wa police
Nimeshtuka kauli ya David Jumbe kuwa alisikia lafudhi ya aliyekuwa akiongoza genge la waliomteka alikuwa Mzanzibari

Na alisisitiza kuwa Jumbe asipelekwe police Bali apelekwe Kwa boss akauwawe

Hii ni mbaya sana

Wazanzibar kuingia Tanganyika na kuendesha utekaji na mauaji
Hili Halina afya katika muungano

Wazanzibar wana hasira za nini na Watanganyika

Natumai police watawabaini hao wahuni ili umma wa Watanzania uwajue
Boss mavwele?
 
Mkuu unaongelea polisi wa nchi gani wenye guts za kutolea ufafanuzi fasaha wa tukio kama hili?
 
Kuna siku ya gizani yataanikwa hadharani
Pasipo kuchukua hatua hakuna kitu kitabadilika... tutabaki kupeana kauli za kupeana moyo, baada ya wiki mbili tunasahau tunaendelea kupiga story zingine, hata watawala wanalifahamu hilo, na wanafahamu Watanganyika ni waoga sana.. hivyo njia pekee ni wao kutumia ukatili... ili kuzidi kuwaogopesha..

Maana ndio njia pekee imeonyesha majawabu.. kitendo cha tarehe 29 Oct watu kuuawa, halafu maandamano yaliyoitishwa December 09 kushindikana na watu wakajifungia ndani, ni obviously watawala ndipo wakaona kumbe hawa dawa yao ni hii, nadhani walicheka kwa dharau na wakaongea kwa kejeli huku wakipeana hongera kwa kazi nzuri walioifanya na nchi imetulia inaweza endelea kutawalika.
 
Back
Top Bottom