Polisi gani watawabaini? si kama unavyofikiria. Wote hao ni CCM.Tukiwa tunasubiri uchunguzi wa police
Nimeshtuka kauli ya David Jumbe kuwa alisikia lafudhi ya aliyekuwa akiongoza genge la waliomteka alikuwa Mzanzibari
Na alisisitiza kuwa Jumbe asipelekwe police Bali apelekwe Kwa boss akauwawe
Hii ni mbaya sana
Wazanzibar kuingia Tanganyika na kuendesha utekaji na mauaji
Hili Halina afya katika muungano
Wazanzibar wana hasira za nini na Watanganyika
Natumai police watawabaini hao wahuni ili umma wa Watanzania uwajue
Boss mavwele?Tukiwa tunasubiri uchunguzi wa police
Nimeshtuka kauli ya David Jumbe kuwa alisikia lafudhi ya aliyekuwa akiongoza genge la waliomteka alikuwa Mzanzibari
Na alisisitiza kuwa Jumbe asipelekwe police Bali apelekwe Kwa boss akauwawe
Hii ni mbaya sana
Wazanzibar kuingia Tanganyika na kuendesha utekaji na mauaji
Hili Halina afya katika muungano
Wazanzibar wana hasira za nini na Watanganyika
Natumai police watawabaini hao wahuni ili umma wa Watanzania uwajue
DuuuhKama ni mzenji basi atakua anatafuta bwana maana wale wamezoea kufirwa toka utoyoni
Duuuh aiseTanzania ya leo inasikitisha sana. Namlaumu sana aliyetoa wazo la kuungana na wale washenzi, ujanja mwingi mbele giza, matokeo yake ameifuta Tanganyika nchi yake.
Mkuu unaongelea polisi wa nchi gani wenye guts za kutolea ufafanuzi fasaha wa tukio kama hili?Tukiwa tunasubiri uchunguzi wa police
Nimeshtuka kauli ya David Jumbe kuwa alisikia lafudhi ya aliyekuwa akiongoza genge la waliomteka alikuwa Mzanzibari
Na alisisitiza kuwa Jumbe asipelekwe police Bali apelekwe Kwa boss akauwawe
Hii ni mbaya sana
Wazanzibar kuingia Tanganyika na kuendesha utekaji na mauaji
Hili Halina afya katika muungano
Wazanzibar wana hasira za nini na Watanganyika
Natumai police watawabaini hao wahuni ili umma wa Watanzania uwajue
Like southafrica Nigeria even kenyaIngekuwa nchi nyingine hii taarifa inatoka sasa hivi bandarini kungekuwa kumejaa wazanzibar wanarudi kwao kwa fujo wqtakayofanyiwa
Pasipo kuchukua hatua hakuna kitu kitabadilika... tutabaki kupeana kauli za kupeana moyo, baada ya wiki mbili tunasahau tunaendelea kupiga story zingine, hata watawala wanalifahamu hilo, na wanafahamu Watanganyika ni waoga sana.. hivyo njia pekee ni wao kutumia ukatili... ili kuzidi kuwaogopesha..Kuna siku ya gizani yataanikwa hadharani