David Djumbe asema kiongozi wa waliomteka alikuwa akiongea lafudhi ya ki Zanzibar

Ingekuwa nchi nyingine hii taarifa inatoka sasa hivi bandarini kungekuwa kumejaa wazanzibar wanarudi kwao kwa fujo wqtakayofanyiwa
Hiyo ndo Nia yenu baada ya kushindwa kumtoa Samia ikulu kama mkivyopanga okt 29 mkifadhiliwa na chadema pamoja na kitima & co.

Hili mmeshashindwa kabla hamjaanza mamamamae zenu!!
 
Siyo Abdul kweli huyo!!
 
Katika vitu alivyokosea Nyerere katika uongozi wake ni mambo yafuatayo:-

1. Muungano
2. Siasa ya Ujamaa
3. Katiba
Shida yake nyingine kuu ni kufikiri yeye ndiye kiumbe pekee mwenye akili nyingi kuliko viumbe wengine wote! Siku zote aliamini mawazo yake, mtazamo wake, maono yake, nk. ni bora zaidi kuliko yale ya wenzake! Hata kama yalikuwa ni mawazo/mtazamo/maono ya hovyo.

Ndiyo maana haikushangaza kusikia aligombana na watu wake wa karibu kama akina Oscar Kambona, nk.
 
Hakika, aliona maono yake ndiyo yenye tija kwa taifa kumbe alikuwa analipeleka taifa mahali pabaya.
 
Kuwa Fanya fujo wazanzibar waishio bara itakua si sawa mfano mi demu wangu ni mzenji siwezi kubali mumguse italeta vita ya sisi Kwa sisi, nafikiri suluhisho, ni njia nyingine si hii kaka
 
Tatizo machogo mna chuki sana na Wazanzibari ati
Habari hizi zingine mwazitengeneza tu na machogo yenu
 
Watanganyika tunatekwa na kuuawa na wazenji ndani y tanganyika. Na bado hatujitetei kabisa zidi yao.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kuna siku yatatokea ya kutisha kuliko 29 October.
 
Hapana tusifike huko.
Hii siyo suluhisho la tatizo.
Sisemi tufike huko ila naelrzea jinsi watu wa nchi nyingine ambavyo wangereact.
Kuna kipindi maiti ya mtanzania iliokotwa India wakati tunajadili tulikuwa na mganda akaniambia tukio kqmq hilo liliwqhi kutokeq Uganda kesho yake bila hata kuhamasishana wahindi walivamiwa nq kupigwa na ikawq mwanzo na mwisho kusikia story za mwananchi wa Uganda kuuawa akasema nyie watanzania ni wapole sana.
Binafsi nina wazanzibar wengi marafiki zangu ambao pia hawapendrzwi na haya yanayotokea.
 
Tupeni hizo akili zenu basi tuone .kama za kwake zina shida.

Mjadala unahusu wauaji mnatafuta watu wa kuwalaumu.

Altenative ni zipi?

Huyo Kambona walikosana ugomvi binafsi, siyo itikadi.
 
Sa100 na ndugu zako mnatuharibia nchi yetu.. ondokeni
 
Tumekabidhi nchi kwa mtu mwenye division zero ya point 34, yaani ana D ya kiswahili tu, mungu atusaidie sana dhidi ya huyu shetani wa Zanzibar.
Mhubiri 10:5-7 BHN
[5] Kuna uovu niliogundua hapa duniani, uovu unaosababishwa na watawala: [6] Kwamba wapumbavu wanapewa kazi za madaraka ya juu, na matajiri wanachukua nafasi za mwisho. [7] Nimeona watumwa wanapanda farasi, na wakuu wanatembea kwa miguu kama watumwa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…