Haifai kufyatuka namna hii.Hili ni onyo la awali kwa mamlaka za Tanzania.
Kwa ilipofikia Chadema Kwa sasa kitendo chochote cha kuua viongozi wake hakitanyamaziwa na haraka sana kisasi kitalipwa pakubwa
Jumbe, Mtu Mwema na Mtulivu, ambaye ni msaidizi wa Lissu ametekwa n.a. maofisa usalama Kwa lengo la kumuua, baada ya kutoa siri ya Lissu kulishwa sumu gerezani, hili jambo litavuruga Armani ya Nchi
Soma Pia: Tetesi: - David Djumbe Msaidizi Wa Tundu Lissu Ametekwa
Tusikwepe; hii kazi ni yetu, waTanzania. Siyo kazi ya Trump.Diaspora niliandika hapa kuwa waombe audience na Trump aingilie Kati ikiwezekana kama alivyofanya Venezuela! Lazimamkujaribu kila linalowezekana
Hawana namna; italazimu tu wamwachie; siyo kwa kupenda kwao, lakini kwa shurti.Naumia Sana.. Kwa hali hii ni ngumu sana kumuachia TAL
Nilikukataza matusi! Silaha ya mtu ambaye hajaelimika ni matusi. Ukiona mtu anatukana jua ameishiwa hoja.Mganga akae na kichwa na maini wiki 2 na visioze na wewe kwa upumbavu wako ukaamini!
sema chadema imemficha ili kupata tension, nonsense public sympathy na kutafuta kiki useless 🐒Msaidizi wa Tundu Lissu, David Djumbe inadaiwa ametekwa usiku huu na wanaodhaniwa kuwa Maafisa wa Usalama wa Taifa ambao walikuwa na silaha za moto.
Djumbe ametekwa akiwa nje ya geti la nyumbani kwake, maeneo ya Bunju Dar es Salaam.
Wananchi waliokuwa wanalikimbiza gari hilo lililomteka, wamesema wameliona likiingia kwenye nyumba za Usalama wa Taifa zilizo maeneo ya Mbweni.
=====
View attachment 3592007
View: https://www.instagram.com/p/DYkyDomueV1/?igsh=cTBocm1sa2g1M2Z0
======================
View: https://x.com/i/status/2057218064194637829
Naunga mkono hoja twende tukalalamike huko.Diaspora niliandika hapa kuwa waombe audience na Trump aingilie Kati ikiwezekana kama alivyofanya Venezuela! Lazimamkujaribu kila linalowezekana
Nchi inaendeshwa na kikundi cha watekaji.Halafu wanahubiri Maridhiano.
Hivi huko CCM na Serikalini kuna wenye akili kweli.?
Mbona Nchi inaendeshwa kama ghetto la masela!?
Hili libibi siku likikamatwa na Trump kwanza atalidinya kisha alipeleke ICC likanyee debe huko.Diaspora niliandika hapa kuwa waombe audience na Trump aingilie Kati ikiwezekana kama alivyofanya Venezuela! Lazimamkujaribu kila linalowezekana
Mzee wa ngonjera, unaandika utadhani uko serious. Unasubiri nini sasa kuingia barabarani? Au unataka waingie wengine??Ninakubaliana na wewe, Tanzania kamwe hatuwezi kuwa na vita kati yetu kwa sababu ya mtu duni, mwovu kabisa kama Samia Suluhu Hassan.
Lililowazi ni kuwa mwovu huyu wakati wake wa kuwajibishwa sasa umetimia.
Hakuna tena sababu ya damu ya waTanzania kumwagika kwa sababu ya mtu wa hovyo kama huyu.
Trump huyu huyu anayesadiana na Israel kuua watoto wa Gaza na Iran? Ndiyo aje atetee wachoma miundombinu wa Kimara?Diaspora niliandika hapa kuwa waombe audience na Trump aingilie Kati ikiwezekana kama alivyofanya Venezuela! Lazimamkujaribu kila linalowezekana
Dalili zipo tangu 1995 chini ya utawala wa Komandoo Zanzibar mpaka 2001 kwa mauaji ya waandamanaji Pemba.Dalili na ushahidi wa kwamba CCM hawapo tayari kuachia madaraka kwa njia ya haki na amani, wamesha uonesha 29/10/2025 na bado wanaendelea kutuonesha mabavu yao kwa kuteka na kuua raia wenzetu kama hivi.
Msaidizi wa Tundu Lissu, David Djumbe inadaiwa ametekwa usiku huu na wanaodhaniwa kuwa Maafisa wa Usalama wa Taifa ambao walikuwa na silaha za moto.
Djumbe ametekwa akiwa nje ya geti la nyumbani kwake, maeneo ya Bunju Dar es Salaam.
Wananchi waliokuwa wanalikimbiza gari hilo lililomteka, wamesema wameliona likiingia kwenye nyumba za Usalama wa Taifa zilizo maeneo ya Mbweni.
=====
======================
Hizi mimi naziita ni drama za polisi!, niliwahi kumshauri IGP Vifo vya Mahabusu Mwanza, IGP Mangu, Usikubali Kudanganywa!, Polisi Wako Ni Wauaji!. P'se Stop ThisPolisi wetu hayanaga akili kbs, yatakuwa yamemuua jamaa halafu yanatengeneza story ku justfy kifo chake kwamba kilitokana na majeraha makubwa kichwani baada ya kuanguka kutoka kwenye gari akijaribu kutoroka!.
Yaani mtuhumiwa mwenye pingu mikononi akiwa chini ya ulinzi wa polisi anawezaje kuruka kutoka kwenye gari na kukimbia bila kukamatwa??