Mishi Zawa
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,673
- 2,575
Hakika ni drama.. eti wameenda makao makuu ya chama wakajitanbulisha wanatoka o'bayHizi mimi naziita ni drama za polisi!, niliwahi kumshauri IGP Vifo vya Mahabusu Mwanza, IGP Mangu, Usikubali Kudanganywa!, Polisi Wako Ni Wauaji!. P'se Stop This
P
Inasikitisha kwelikweli tunapoelekea, huyu mama ni mkatili sana.Naumia Sana.. Kwa hali hii ni ngumu sana kumuachia TAL
Pia tuko Watanzania wengi ambao ni Wazalendo wa nchi hii, wanaoupenda na kuukubali huu muungano wetu adhimu na adimu huwaambii kitu, please usiuite muungano wetu adhimu ni muungano wa kijinga !, sisi Watanzania Wazalendo na tumekula yamini muungano tutaulinda kwa gharama yoyote, hata Ikibidi kuulinda kwa gharama ya machozi, jasho na damu, tutalipia!.Watanganyika walio wengi wanamtaka nchi yao! Wameshagundua wapo kwenye muungano wa kijinga.
Muungano wa kinyonyaji na usio na usawa! Muungano wa changu changu, chako changu! Muungano wenye maslahi kwa wananchi wachache pekee, nk.[Ql
Pia tuko Watanzania wengi ambao ni Wazalendo wa nchi hii, wanaoupenda na kuukubali huu muungano wetu adhimu na adimu huwaambii kitu, please usiuite muungano wetu adhimu ni muungano wa kijinga !, sisi Watanzania Wazalendo na tumekula yamini muungano tutaulinda kwa gharama yoyote, hata Ikibidi kuulinda kwa gharama ya machozi, jasho na damu, tutalipia!.
P.
Kiongozi wa watekaji anasema alikuwa anaongea kiswahili cha kizanzibar watu wa Mama haoMsaidizi wa Tundu Lissu, David Djumbe inadaiwa ametekwa usiku huu na wanaodhaniwa kuwa Maafisa wa Usalama wa Taifa ambao walikuwa na silaha za moto.
Djumbe ametekwa akiwa nje ya geti la nyumbani kwake, maeneo ya Bunju Dar es Salaam.
Wananchi waliokuwa wanalikimbiza gari hilo lililomteka, wamesema wameliona likiingia kwenye nyumba za Usalama wa Taifa zilizo maeneo ya Mbweni.
=====
======================
[Ql
Pia tuko Watanzania wengi ambao ni Wazalendo wa nchi hii, wanaoupenda na kuukubali huu muungano wetu adhimu na adimu huwaambii kitu, please usiuite muungano wetu adhimu ni muungano wa kijinga !, sisi Watanzania Wazalendo na tumekula yamini muungano tutaulinda kwa gharama yoyote, hata Ikibidi kuulinda kwa gharama ya machozi, jasho na damu, tutalipia!.
P.
Uzalendo ni mapenzi ya dhati ya mtu kuipenda nchi yake na kutanguliza mbele maslahi ya taifa, kuliko kitu kingine chochote!, patriotisimTujiulize uzalendo ni nini?
Hayo yote wazalendo tunayapigia kelele!.Maana tunanganania kusema tunalinda nchi wakati huo huo hatusemi pale rushwa, ukabila, utekaji, unyanyasaji, wizi wa kura, undugu unapotokea.
Charity begins at home, sisi home kwetu ni humu jf, japo ni kweli, watu wazalendo ni Warioba na Lissu, kuna wazalendo wengi tuu ila they are not outspoken, uzalendo wa kweli uko ndani ya moyo wa mtu, na sio kuongea, kukemea, au kupiga kelele, kuna watu japo wako kimya, lakini ni wazalendo wa kweli wa taifa lao, mimi mwenyewe ni bonge la mzalendo humu.Mfano wa watu wazalendo ni Warioba na Lissu wengine wengi ukiangalia vizuri ni wazalendo waangalia matumbo zaidi
Hizi "ngonjera" zinagonga hadi utosini mwako na kukupa mchecheto. Huo ndio uzuri wa hizi unazoziita ngonjera.Mzee wa ngonjera, unaandika utadhani uko serious. Unasubiri nini sasa kuingia barabarani? Au unataka waingie wengine??
Baadhi ya maswali yako yamejibiwa, na DjumbeHaifai kufyatuka namna hii.
Kwa nini wamuue; "lengo la kumuua" limetangazwa wapi?
Hakuna asiyejuwa uovu wa watu hawa, lakini haimsaidii yeyote kufyatuka tu namna hii jukwaani humu.
Inamsaidia nani hasa kwa maneno kama haya yaliyotumika; kama siyo hao hao waovu.
Huu siyo wakati wa kubwatuka tu hovyo hovyo na maneno ambayo waovu wanayachukulia kutokuwa na uzito wowote!
Samia yupo kwenye hali mbovu sana, ndiyo maana ya haya yote yanayofanyika. Anatafuta kila aina ya njia kupenya kikombe kinachomkabili; haitulazimu na sisi tuanze kuonyesha dalili za kutojiamini juu ya kinachosubiri kumwandama mwovu huyu.
Nilipata taabu sana, kuandika kama nilivyoandika kuhusu mada yako kama ulivyoiwasilisha.Baadhi ya maswali yako yamejibiwa, na Djumbe
Nabii koko, kila unachotabiri hakitokei, si bora uache tuHizi "ngonjera" zinagonga hadi utosini mwako na kukupa mchecheto. Huo ndio uzuri wa hizi unazoziita ngonjera.
Hata kama unao upungufu mkubwa wa kusoma hali ilivyo halisi sasa hivi; kweli utashindwa kubaini hali mbovu kabisa inayomkabili Samia wakati huu?
Hicho unachokifaidi toka kwake hadi ujizime akili namna hii; wewe utakuwa bado ni binaadam?
Sina "unabii" wowote mimi. Kujuwa hali mbovu inayomkabili Samia haihitaji unabii wowote.Nabii koko, kila unachotabiri hakitokei, si bora uache tu