David Hundeyin: Ukweli Kuhusu Kinachodaiwa kuwa "Colour Revolution" Tanzania

Hii script aliiandika kabudi akishirikiana na yule mhaya wa jukwaa la wahariri na ikafadhilwa na Abdul.
Kama kweli anaamnini na kuuishi ukweli arudi kwao Nigeria akapambane na siyo kujificha mvunguni mwa kitanda cha jirani na kubweka kivivu.
Kazi aliyopewa haijaleta matokeo yaliyotarajiwa kwani imepuuzwa na kutupwa na EU na USA na wakatoa matamko ya kuiwekea vikwazo vya kiuchumi ccm.
 
Mkata viuno kwenye ubora wako utazani wewe NI msemaji kile kikundi halamu Cha samuya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…