Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,629
- 3,015
Unaeleweka vizuri, Kujenga diplomasia ni jambo la muhimu sanaView attachment 3386212
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchjni PPPC Bwana David Kafulila amesema ukuaji huu wa wa kasi wa Uchumi wa Tanzania 1unatokana na ukuaji wa Diplomasia Kimataifa.
Msikilize hapo juu mpaka mwisho
Kafulila akili ikoDiplomasia ndio kila kitu
Ndio maana CHADEMA wameshindwa kabisa kumjibu popote,Kafulila akili iko
Shobo Kwa nani sasa😂😂Huyu muha naye apunguze shobo
Mama Samia kama ningeruhusiwa kupiga kura mara basi ningempigia yeyeDiplomasia ndio kila kitu
Ni useless kwako tu nadhaniUnatuchosha na useless post
Mpiga porojo tu huyo, sema na hv mama yenu ni kilaza basi anamuona tumbili ni mtaaalam kwelkwel!Kafulila ni hazina ya Taifa letu
Vipi kwani na wewe ni kilaza?Mpiga porojo tu huyo, sema na hv mama yenu ni kilaza basi anamuona tumbili ni mtaaalam kwelkwel!
Kazi anayoifanya Kafulila ni ya kuigwaView attachment 3386212
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchjni PPPC Bwana David Kafulila amesema ukuaji huu wa wa kasi wa Uchumi wa Tanzania 1unatokana na ukuaji wa Diplomasia Kimataifa.
Msikilize hapo juu mpaka mwisho
Tanzania imekuwa na mahusiano mazuri sana na Mataifa mengineDiplomasia ndio kila kitu
Kafulila anajua sana aTanzania imekuwa na mahusiano mazuri sana na Mataifa mengine
Ila wakati wote siasa ni porojoMpiga porojo tu huyo, sema na hv mama yenu ni kilaza basi anamuona tumbili ni mtaaalam kwelkwel!
Uchawa uchawa tuIla wakati wote siasa ni porojo
Huyu jamaa anaakiliUnaeleweka vizuri, Kujenga diplomasia ni jambo la muhimu sana