Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,629
- 3,015
- Thread starter
- #21
Siasa sio porojo ila siasa ni sayansiIla wakati wote siasa ni porojo

Kafulila ni Mtu wa kazi sana,Kafulila anakimbiza balaa,wamfunge speed gavana huyu,kuna siku anaweza sema"Tanzania yaisamehe mkopo marekani"
Liko waziKafulila ni hazina ya Taifa letu
Kafulila mtu safi sana Kwa chama,View attachment 3386212
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchjni PPPC Bwana David Kafulila amesema ukuaji huu wa wa kasi wa Uchumi wa Tanzania 1unatokana na ukuaji wa Diplomasia Kimataifa.
Mkurugenzi Kafulila ametaja mambo manne ambayo ni muhimu kwenye kujenga Uchumi wa kisasa.
Kwanza, Mkurugenzi huyo ametaja rasilimali watu kama nyezo muhimu katika kujenga uchumi wa kisasa kwani inachangia Kwa 65% hasa kwenye mataifa makubwa yaliyoendelea.
Pili, Namna tunavyotumia maliasili zetu (natural resources) ni njia mojawapo katika kukuza uchumi wa kisasa,
Tatu, Utulivu wa kidplomasia na diplomasia ya Uchumi ni njia muhimu katika kujenga uchumi wa kisasa, Kafulila anasema kila tulipolega kwenye diplomasia nchi ilikubwa na matokeo hasi mengi.
Nne, Mkurugenzi Kafulila anasema kutumia nafasi yakijiografia vizuri kama njia muhimu ya kukuza uchumi wa kisasa. Tanzania kuzungukwa na nchi sita (6) zisizo na Bandari ni fursa kwake kwenye kukuza uchumi wa kisasa.
Soma pia,![]()
Kafulila: Tanzania should focus on four pillars for competitive economy
He underscored the importance of prioritising human resources, arguing that global competitiveness today hinges more on a skilled and healthy population than on the abundance of natural resources.www.thecitizen.co.tz
==
Nakubaliana na weweKafulila ni hazina ya Taifa letu
HuelewekiHuyu jamaa anaakili
Bila diplomasia hutoboiUnaeleweka vizuri, Kujenga diplomasia ni jambo la muhimu sana
Naomba mwenye namba ya Paschal MayalaUnaeleweka vizuri, Kujenga diplomasia ni jambo la muhimu sana
Sema tunasonga mbeleKazi inaenda mbele Kwa Kasi aana
Uchaguzi unakuja utampia ltuMama Samia kama ningeruhusiwa kupiga kura mara basi ningempigia yeye
Diplomasia ndio kila kitu
Diplomasia ni muhimu Kwa ustawi wa FaifaUnaeleweka vizuri, Kujenga diplomasia ni jambo la muhimu sana
Au atuambie ya Kishoa 😂😂Kafulila anakimbiza balaa,wamfunge speed gavana huyu,kuna siku anaweza sema"Tanzania yaisamehe mkopo marekani"
Au atuambie ya Kishoa 😂😂
#SAMIIA MITANOView attachment 3386212
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchjni PPPC Bwana David Kafulila amesema ukuaji huu wa wa kasi wa Uchumi wa Tanzania 1unatokana na ukuaji wa Diplomasia Kimataifa.
Mkurugenzi Kafulila ametaja mambo manne ambayo ni muhimu kwenye kujenga Uchumi wa kisasa.
Kwanza, Mkurugenzi huyo ametaja rasilimali watu kama nyezo muhimu katika kujenga uchumi wa kisasa kwani inachangia Kwa 65% hasa kwenye mataifa makubwa yaliyoendelea.
Pili, Namna tunavyotumia maliasili zetu (natural resources) ni njia mojawapo katika kukuza uchumi wa kisasa,
Tatu, Utulivu wa kidplomasia na diplomasia ya Uchumi ni njia muhimu katika kujenga uchumi wa kisasa, Kafulila anasema kila tulipolega kwenye diplomasia nchi ilikubwa na matokeo hasi mengi.
Nne, Mkurugenzi Kafulila anasema kutumia nafasi yakijiografia vizuri kama njia muhimu ya kukuza uchumi wa kisasa. Tanzania kuzungukwa na nchi sita (6) zisizo na Bandari ni fursa kwake kwenye kukuza uchumi wa kisasa.
Soma pia,![]()
Kafulila: Tanzania should focus on four pillars for competitive economy
He underscored the importance of prioritising human resources, arguing that global competitiveness today hinges more on a skilled and healthy population than on the abundance of natural resources.www.thecitizen.co.tz
==
Yuko poa sana jamaaUnaeleweka vizuri, Kujenga diplomasia ni jambo la muhimu sana