DAVID KAFULILA amekosa heshima kwa Watanzania

Kashajipima maana katiba mpya ikipita kigoma kutakuwa na Mbunge mmoja tu
 
wale wanaohudhuria lakini wanalala unasemaje?
 
Elimu ndiyo kila kitu wewe.....mwache mwenzako apige shule. Kukosekana kwake hakutafanya katiba isipatikane.
 
Nashindwa kujua amekosaje heshima kwa watanzania!!!!
 

Bila shaka una matatizo binafsi. Mwisho utataka na marehemu wahudhurie Bunge maalumu!
 
Bora yeye amaeamua kwenda kusoma, kuna wengine walikatisha ziara za kibunge na kwenda kujirusha DUBAI.

Kweli we akili yako umeisahau msalani, watu wanashusha nondo we unakuja na mdundiko!
 
Ubunge wenyewe mwisho mwakani bora atengeze cv yake.
 

Wewe n BONGO LALA!!!!!
 
Big up zakary kafulila nakutakia maisha mema na mwenyezi mungu akusaidie umekuwa mutu ya mufano wa kuigwa endelea na moyo huyo muzuri tenda mema usingoje shukrani cheka na watu wotee David kafulila...shule kwanza bunge lenyewe kama ndio hilo endelea kukata shule mil 27m kwa siku 90 kitu gani??
 
Anatafuta umaarufu kwa kusoma Masterz?

Sidhani kama huo ni umaarufu kwani ukiachana na siasa nae ana ndoto zake binafsi katika maisha yake. Sema apange ratiba yake vizuri kwani ni lazima audhurie kwe bunge maalum kwa sababu amechagua pia kutumikia wananchi
 
Kweli we akili yako umeisahau msalani, watu wanashusha nondo we unakuja na mdundiko!

Upeo wako ni mdogo sana, Mbowe alienda kula na raha na JOYCE MUKYA Dubai kwa kutumia fedha na muda wa serikali.
 
umenena vizuri sana qeen of sheba, lakini unafanana na jina lako queen? Mfalme sulemani aliishiwa nguvu kabisa wakati huo...labda nimechanganya...yawezekana ni cleopatra ....

Teh teh ni Queen of Sheba ndiye aliye mchanganya King sio Cleopatra.
 
Maamuzi aliyoyachukua kafulila mbona in sahihi kabisa. Maana hata wale wabunge ambao wapo bungeni hamna jipya wanalolifanya huko tofauti na kupiga kelele tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…