Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 896
Hivi kusoma ni kutafuta umaarufu?Huyo kafulila ni muhuni tu. Anarafuta umaarufu tu. Katiba si kitu cha kuletea upuuzi upuuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kusoma ni kutafuta umaarufu?Huyo kafulila ni muhuni tu. Anarafuta umaarufu tu. Katiba si kitu cha kuletea upuuzi upuuzi.
Elimu ndiyo kila kitu wewe.....mwache mwenzako apige shule. Kukosekana kwake hakutafanya katiba isipatikane.Bwana David Zachary Kafulila ameamua kutoshiriki vikao vya bunge maalum la katiba kwa makusudi kabisa, hilo ni tusi kwa watanzania.
Toka tarehe 17/02/2014, David Kafulila ameanza kusoma Masters ya International Business Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (full time) na alianza kuonekana eneo la chuo kikuu toka mwezi wa kwanza pale alipokuwa akifatilia admission letter. Hivyo Kafulila kwa mapenzi yake, utashi wake na dharau zake kwa watanzania ameamua kutohudhuria vikao vya bunge maalum la katiba.
Naomba Kafulila anijibu maswali haya
1. kwanini hutaki kuhudhuria vikao vya bunge maalumu katiba?
2. unataka wananchi wakuelewe vipi, hasa wa kigoma?
3. ina maana katiba si jambo muhimu kwako?
4. wananchi wa kigoma wakikuadhibu 2015 katika uchaguzi mkuu unadhani watakuwa na makosa?
NAWASILISHA
Bwana David Zachary Kafulila ameamua kutoshiriki vikao vya bunge maalum la katiba kwa makusudi kabisa, hilo ni tusi kwa watanzania.

Bora yeye amaeamua kwenda kusoma, kuna wengine walikatisha ziara za kibunge na kwenda kujirusha DUBAI.
Bwana David Zachary Kafulila ameamua kutoshiriki vikao vya bunge maalum la katiba kwa makusudi kabisa, hilo ni tusi kwa watanzania.
Toka tarehe 17/02/2014, David Kafulila ameanza kusoma Masters ya International Business Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (full time) na alianza kuonekana eneo la chuo kikuu toka mwezi wa kwanza pale alipokuwa akifatilia admission letter. Hivyo Kafulila kwa mapenzi yake, utashi wake na dharau zake kwa watanzania ameamua kutohudhuria vikao vya bunge maalum la katiba.
Naomba Kafulila anijibu maswali haya
1. kwanini hutaki kuhudhuria vikao vya bunge maalumu katiba?
2. unataka wananchi wakuelewe vipi, hasa wa kigoma?
3. ina maana katiba si jambo muhimu kwako?
4. wananchi wa kigoma wakikuadhibu 2015 katika uchaguzi mkuu unadhani watakuwa na makosa?
NAWASILISHA
Anatafuta umaarufu kwa kusoma Masterz?
Kweli we akili yako umeisahau msalani, watu wanashusha nondo we unakuja na mdundiko!
umenena vizuri sana qeen of sheba, lakini unafanana na jina lako queen? Mfalme sulemani aliishiwa nguvu kabisa wakati huo...labda nimechanganya...yawezekana ni cleopatra ....