David Kafulila anakumbukwa na wakulima wa Simiyu kwa kupaisha bei ya Pamba kufikia Tsh. 2200 kwa kilo katika historia ya Taifa letu alipokuwa RC

Kafulila ni zaidi ya Kiongozi
 
Kafulila ni Mtu mzuri ni kweli
 
Kafulila Aishi sana atalifaa sana Taifa letu
 
Kazi nzuri bwana Kafulila
 
Alo ile pamba ilipofikia 2200 hakika nilishangaa sana Kila kitu kinawezekana palipo na utashi
 
Alo ile pamba ilipofikia 2200 hakika nilishangaa sana Kila kitu kinawezekana palipo na utashi
Ni juhudi namisimamo binafsi ya Mheshimiwa Kafulila pamoja na uzalendo wake ndio uliipaisha bei ya Pamba kufikia kuuzwa kwa bei iliyoweka historia katika Taifa letu.
 
Ila ndio panapomafanikio fitina pia ni nyingi sana akang'olewa usiku wa manane.
Siku yaja atakaporejeshwa kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Nchi nzima na kuwalipua watu kwa Furaha na shangwe kubwa sana.maana watu wengi sana wanamkubali Mheshimiwa Kafulila.
 
Kafulila ni kiongozi kwelikweli
 
Lucas Mwashambwa naona kweli wewe ni mzalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…