simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,792
- 9,724
Percentage increase in export ni muhimu zaidi. Export zimeongezeka kwa kiasi gani?
Amsha kichwa,fanya biashara.Kwanini sasa mnaogopa uchaguzi?
Tunaendelea na mafungo hapa Ufufuo na Uzima
Gwaji boiiiiiiiiii
Andiko zuri sana==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 na kufafanua kuwa biashara ya kuuza na kununua nje imekuwa Kwa zaidi ya 84% Kwa mujibu wa taarifa za benki kuu ya Tanzania BOT Kwa kipindi hiki k cha mika minne (4)
Tukitathimini Utawala wa miaka hii minne wa Rais Samia Suluhu Hassan Kafulila anasema namnukuu "kubwa kabisa kwenye biashara ni kuchangamka na kuongezeka kwa biashara ya kuuza na kununua nje"
Vile vile Mkurugenzi huyo amenukuliwa na chombo hicho akisema kuwa wakati Rais Samia anaingia madarakani biashara ya kuuza na kununua nje ilikuwa na thamani ya dola za kimarekani bilioni 17 ($17bn) au Shilingi trillion 42 wakati leo thamani ya biashara hiyo hiyo ya kuuza na kununua nje huduma na bidhaa imefikia dola za kimarekani bilioni 32 ($32bn) au Shilingi trillion 80 sawa na ongezeko la 84% karibu mara mbili,
Mkurugenzi David Kafulila anasema ongezeko hilo la biashara ya kuuza na kununua nje tayari limetengeneza ajira nyingi, fedha za kigeni pamoja na kukuza vipato vya Mtanzania mmoja mmoja kwenye mnyonyororo mzima wa ukuzaji wa thamani ya bidhaa zetu pamoja na biashara ya nje,
==
David Kafulila anasema biashara ya Tanzania Dunia ya kuuza na kununua nje bidhaa na huduma inakua kwa Kasi sana Watanzania tuchangamkie fursa wakati ni huu
==
View attachment 3354489
===
Kafulila fundi sana wa hoja==

Very true kuwa na wanachama 13.5M tayari uchaguzi utakuwa umefanyikaNani anakudanganya, CCM inawanachama 13.5M sasa hata kama CHADEMA wanasusia wanachama wa CCM ni nusu ya wapigakura wote , akidi ya Uchaguzi lazima itimie
Kafulila ni chawa wa Samia na mwanasheria wa serikali mstaafu Jaji werema marehemu alituambia kafulila ni Tumbili,na anayoendelea kunadi kafulila anadhihirisha uchawa na utumbili alionao,kama kweli biashara imekuwa hivyo kwa nn li shilingi la Tanzania linaendelea kushuka na kiporomoka thamani kila siku tatizo halipo kweli hapo? hadi mtu anakaa anaanza kudanganya watu anadhani watanzania ni wajinga na chawa kama yeye.==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 na kufafanua kuwa biashara ya kuuza na kununua nje imekuwa Kwa zaidi ya 84% Kwa mujibu wa taarifa za benki kuu ya Tanzania BOT Kwa kipindi hiki k cha mika minne (4)
Tukitathimini Utawala wa miaka hii minne wa Rais Samia Suluhu Hassan Kafulila anasema namnukuu "kubwa kabisa kwenye biashara ni kuchangamka na kuongezeka kwa biashara ya kuuza na kununua nje"
Vile vile Mkurugenzi huyo amenukuliwa na chombo hicho akisema kuwa wakati Rais Samia anaingia madarakani biashara ya kuuza na kununua nje ilikuwa na thamani ya dola za kimarekani bilioni 17 ($17bn) au Shilingi trillion 42 wakati leo thamani ya biashara hiyo hiyo ya kuuza na kununua nje huduma na bidhaa imefikia dola za kimarekani bilioni 32 ($32bn) au Shilingi trillion 80 sawa na ongezeko la 84% karibu mara mbili,
Mkurugenzi David Kafulila anasema ongezeko hilo la biashara ya kuuza na kununua nje tayari limetengeneza ajira nyingi, fedha za kigeni pamoja na kukuza vipato vya Mtanzania mmoja mmoja kwenye mnyonyororo mzima wa ukuzaji wa thamani ya bidhaa zetu pamoja na biashara ya nje,
==
David Kafulila anasema biashara ya Tanzania Dunia ya kuuza na kununua nje bidhaa na huduma inakua kwa Kasi sana Watanzania tuchangamkie fursa wakati ni huu
==
View attachment 3354489
===
Bwana mdogo Kafulila alikuwa fundi wa hoja huko nyuma kaka and very smart boy by then, sasa CCM Imemuharibu kabisa kwa sasa mdogo wangu Hana lolote zaidi ya mapambio ya uchawa na utumbili basi.Kafulila fundi sana wa hoja
Respect your enemy ndio maneno sawiaKwanini sasa mnaogopa uchaguzi?
Tunaendelea na mafungo hapa Ufufuo na Uzima
Gwaji boiiiiiiiiii
Unajua kuwa Jasiri haachi asiliBwana mdogo Kafulila alikuwa fundi wa hoja huko nyuma kaka and very smart boy by then, sasa CCM Imemuharibu kabisa kwa sasa mdogo wangu Hana lolote zaidi ya mapambio ya uchawa na utumbili basi.
Huyu jamaa atafika mbali sana tumwombee==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 na kufafanua kuwa biashara ya kuuza na kununua nje imekuwa Kwa zaidi ya 84% Kwa mujibu wa taarifa za benki kuu ya Tanzania BOT Kwa kipindi hiki k cha mika minne (4)
Tukitathimini Utawala wa miaka hii minne wa Rais Samia Suluhu Hassan Kafulila anasema namnukuu "kubwa kabisa kwenye biashara ni kuchangamka na kuongezeka kwa biashara ya kuuza na kununua nje"
Vile vile Mkurugenzi huyo amenukuliwa na chombo hicho akisema kuwa wakati Rais Samia anaingia madarakani biashara ya kuuza na kununua nje ilikuwa na thamani ya dola za kimarekani bilioni 17 ($17bn) au Shilingi trillion 42 wakati leo thamani ya biashara hiyo hiyo ya kuuza na kununua nje huduma na bidhaa imefikia dola za kimarekani bilioni 32 ($32bn) au Shilingi trillion 80 sawa na ongezeko la 84% karibu mara mbili,
Mkurugenzi David Kafulila anasema ongezeko hilo la biashara ya kuuza na kununua nje tayari limetengeneza ajira nyingi, fedha za kigeni pamoja na kukuza vipato vya Mtanzania mmoja mmoja kwenye mnyonyororo mzima wa ukuzaji wa thamani ya bidhaa zetu pamoja na biashara ya nje,
==
David Kafulila anasema biashara ya Tanzania Dunia ya kuuza na kununua nje bidhaa na huduma inakua kwa Kasi sana Watanzania tuchangamkie fursa wakati ni huu
==
View attachment 3354489
===
Samia is unstoppableHata wamchukue mpaka Gwajima na Mpina tabu ipo pale pale
Mbona hela hamna?==

Mkandarasi gani hajalipwa?Mbona hela hamna?
Miradi ya barabara imesimama,wakandarasi wanalalamika kuuziwa assets zao!
Hela zinaenda wapi sasa?
Good story crafting==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 na kufafanua kuwa biashara ya kuuza na kununua nje imekuwa Kwa zaidi ya 84% Kwa mujibu wa taarifa za benki kuu ya Tanzania BOT Kwa kipindi hiki k cha mika minne (4)
Tukitathimini Utawala wa miaka hii minne wa Rais Samia Suluhu Hassan Kafulila anasema namnukuu "kubwa kabisa kwenye biashara ni kuchangamka na kuongezeka kwa biashara ya kuuza na kununua nje"
Vile vile Mkurugenzi huyo amenukuliwa na chombo hicho akisema kuwa wakati Rais Samia anaingia madarakani biashara ya kuuza na kununua nje ilikuwa na thamani ya dola za kimarekani bilioni 17 ($17bn) au Shilingi trillion 42 wakati leo thamani ya biashara hiyo hiyo ya kuuza na kununua nje huduma na bidhaa imefikia dola za kimarekani bilioni 32 ($32bn) au Shilingi trillion 80 sawa na ongezeko la 84% karibu mara mbili,
Mkurugenzi David Kafulila anasema ongezeko hilo la biashara ya kuuza na kununua nje tayari limetengeneza ajira nyingi, fedha za kigeni pamoja na kukuza vipato vya Mtanzania mmoja mmoja kwenye mnyonyororo mzima wa ukuzaji wa thamani ya bidhaa zetu pamoja na biashara ya nje,
==
David Kafulila anasema biashara ya Tanzania Dunia ya kuuza na kununua nje bidhaa na huduma inakua kwa Kasi sana Watanzania tuchangamkie fursa wakati ni huu
==
View attachment 3354489
===
Uchochezi ndio huu sasaKwanini sasa mnaogopa uchaguzi?
Tunaendelea na mafungo hapa Ufufuo na Uzima
Gwaji boiiiiiiiiii
Kazi ni nzuri haswa==

Tatizo lako uchama sanaHuyu jamaa kila siku ni kusifia, hajatoka ha siku moja kwenye Television na kuelezea changamoto za watanzania katika viwanda na masoko
Yes but CCM lazima itashinda tuUchaguzi hauzoeleweki
Heshima yako mwanazuoniHio ina translate vipi kwa mbangaizaji wa Kitaa ?!!! Haya mambo ya kushusha manamba yasiyoeleweka nilishasema kitamba kwa kumwambia huyu huyu baada ya kuleta story za hata Ulaya sijui USA wanafanya....
![]()
Majibu ya hata Ulaya; USA wanafanya ni kupotoka (Statistics are like bikinis. What they reveal is suggestive, but what they conceal is vital.')
Tuliambiwa hata United Kingdom Bandari wamewapa watu.., ni kweli UK hata uzalishaji siku hizi hawafanyi kama zamani magari yao yote ni mali za wengine..., UK baada ya ukoloni kuisha ilijikita kwenye Service industry (pamoja na kuuzia watu silaha); ila muhimu kabisa walijikita kwenye Service ya...www.jamiiforums.com
Hongera Kafulila, Hongera SAMIA==