David Kafulila: Biashara ya Tanzania Kimataifa yaongezeka Kwa 84%

Percentage increase in export ni muhimu zaidi. Export zimeongezeka kwa kiasi gani?
 
Andiko zuri sana
 
Kafulila fundi sana wa hoja
 
Kafulila ni chawa wa Samia na mwanasheria wa serikali mstaafu Jaji werema marehemu alituambia kafulila ni Tumbili,na anayoendelea kunadi kafulila anadhihirisha uchawa na utumbili alionao,kama kweli biashara imekuwa hivyo kwa nn li shilingi la Tanzania linaendelea kushuka na kiporomoka thamani kila siku tatizo halipo kweli hapo? hadi mtu anakaa anaanza kudanganya watu anadhani watanzania ni wajinga na chawa kama yeye.
 
Kafulila fundi sana wa hoja
Bwana mdogo Kafulila alikuwa fundi wa hoja huko nyuma kaka and very smart boy by then, sasa CCM Imemuharibu kabisa kwa sasa mdogo wangu Hana lolote zaidi ya mapambio ya uchawa na utumbili basi.
 
Bwana mdogo Kafulila alikuwa fundi wa hoja huko nyuma kaka and very smart boy by then, sasa CCM Imemuharibu kabisa kwa sasa mdogo wangu Hana lolote zaidi ya mapambio ya uchawa na utumbili basi.
Unajua kuwa Jasiri haachi asili
 
Huyu jamaa atafika mbali sana tumwombee
 
Mbona hela hamna?
Miradi ya barabara imesimama,wakandarasi wanalalamika kuuziwa assets zao!

Hela zinaenda wapi sasa?
 
Good story crafting
 
Kazi ni nzuri haswa
 
Heshima yako mwanazuoni
 
Hongera Kafulila, Hongera SAMIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…