David Kafulila: Biashara ya Tanzania Kimataifa yaongezeka Kwa 84%

Huyu baba anaongea vizuri ila sijui kama anaongea maneno ya kweli
 
Ila wewe sio raia Kafulila
 
Safi sana
 
Hilo ongezeko nadhani meli zingekua zinakosa maegesho mimi ningemwelewa, ukienda airport mambo ni yaleyale
 
Tuongeze bidiii zaidi
 
Waendelee kumnanga Hayat Rais JPM.

Watakula hiyo 14% ya kura na kupotezwa.

☝🏿Haina uhusiano na Uzi
 
Mama Samia ni Kazi na Utu tunasonga Mbele
 
Mungu tusaidie Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…