David Kafulila kasema asiyetaka kulipia barabara aende kwenye za bure kupambana na foleni

Ni jambo la kweli ila zianze kujengwa kwanza za bure kabla ya zile za kulipia
 
Sawa tu
 
Sawa
 
Yote Maisha hata hivyo
 
Sawa ila.zijengwe za bure pia
 
Mwambieni aache matamko inatosha alete Sasa hiyo miradi
 
Ni sawa,
 
Kwa nini upite njia ya kulipia kama hauna haraka?
 
Kasema ya Kweli hata kama hatutaki kusikia
 
Tumekubali hii kwa 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…