Shekaina Glory
JF-Expert Member
- Jun 18, 2025
- 207
- 116
Machawa ndio watashiriki. kafulila ni chawa mbobevu, msaliti wa mageuzi...sana sana atasifia tumbo lake ili liweze kwenda "chooni"!TANGAZO
Usikose kutazama mjadala maalum utakaorushwa moja kwa moja kupitia kituo cha televisheni ITV leo saa 3:00 usiku kwenye kipindi cha DKT 45.
Mjadala huu utakuwa na mgeni rasmi Bw. David Kafulila mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini PPPC, ambapo pamoja na mambo mengine, ataeleza kwa kina kuhusu mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Ni nafasi ya kipekee ya kupata ufafanuzi wa moja kwa moja kuhusu maendeleo na hatua kubwa zilizopigwa nchini.
👉 Usikose – ITV saa 3 usiku!
Polepole hajibikiMachawa ndio watashiriki. kafulila ni chawa mbobevu, msaliti wa mageuzi...sana sana atasifia tumbo lake ili liweze kwenda "chooni"!
SIJI KWANYE UJINGA
liveImesharekodiwa hiyo 🐼
Umejuaje?Mjadala huo watashiriki machawa.
unamfahamu au umesikia tuKafulila hana jipya
sasa utajengaje stori kama huna taarifa za kina?Machawa ndio watashiriki. kafulila ni chawa mbobevu, msaliti wa mageuzi...sana sana atasifia tumbo lake ili liweze kwenda "chooni"!
SIJI KWANYE UJINGA
Just wait and see.Umejuaje?