David Kafulila kuongea leo, Sept Mosi kwenye Dk 45 za ITV

Nategemea Kafulila ataongea kama Yule Daudi wa Escrow

Najua Polepole atafuatilia kwa makini Hotuba ya Kafulila aka naniliu ili hiyo Jumatano amjibu

Ndio sababu nasema Hotuba ya Kafulila iwe ya kumzima kabisa Slow Slow

Ahsanteni sana 🐼
 
D. K huwa anajizima data, ahirisha kufikiri kwa nafsi
 
Kwani kila mtu namjibu polepole Kafulila hawezi kujichanganya kumjibu polepole sio kazi yake hiyo Japokua kawekwa mfumokoni na King maker na PPP zake kafulila alipewa hiyo kazi asife njaa baada kuachana na kishoa alikua anatunzwa na yule manzi Kishoa baada Kukosa ubunge kafulila
 
Nategemea Kafulila ataongea kama Yule Daudi wa Escrow

Najua Polepole atafuatilia kwa makini Hotuba ya Kafulila aka naniliu ili hiyo Jumatano amjibu

Ndio sababu nasema Hotuba ya Kafulila iwe ya kumzima kabisa Slow Slow

Ahsanteni sana 🐼
Leo ukimuliza daudi kuhusu ESCROW ataruka futi 100 😄
Hatoielewa...hawa ndiyo wanasiasa

Ova
 
Anakuja na blah blah zake!
BURE HOVYO KABISA KABISA...
 
Nategemea Kafulila ataongea kama Yule Daudi wa Escrow

Najua Polepole atafuatilia kwa makini Hotuba ya Kafulila aka naniliu ili hiyo Jumatano amjibu

Ndio sababu nasema Hotuba ya Kafulila iwe ya kumzima kabisa Slow Slow

Ahsanteni sana 🐼
Mtihani
 
Tatizo mafanikio anayayasema Kafulila hakuna mwanaCCM anayeyatumia kama mafanikio yao ikiwemo mgombea wa urais.
Yangetumiwa kwenye Uzindizi wa Kampeni nchi ingerindima KWA shangwe na vigeregere.

Sijui KWA nini
 
Back
Top Bottom