Imagine, yaani mtu anateuliwa baada ya muda anajiuzulu mwenyewe.Hii hali ya watu kuwa Recycled ndani ya CCM inanifikirisha sana! Kuna muda nawaza nguvu za kiganga hutumika kuwapumbaza wanaoteua!
Jamaa wanazunguka wao kwa waoHii hali ya watu kuwa Recycled ndani ya CCM inanifikirisha sana! Kuna muda nawaza nguvu za kiganga hutumika kuwapumbaza wanaoteua!
Vimeonekana ni vyeo vya hovyo kabisaKuna watu walipata "special permission" kuachia nafasi zao na kwenda kujaribu kwingine. Kafulila alikuwa RAS mara ya kwanza na mara ya pili alipewa URC.
What is so special? - well, anajua aliyewatua maana kuna sura nyingine kwenye huu mkeka wa uDC zimedhihirisha tu kile tunachokijua wote kwamba nafasi ya uDC haina umuhimu wowote kwenye maendeleo ya Nchi na inaweza kushikwa na hata wadangaji sugu
Uganda tunawazidi kwenye kubadilisha Rais tu. Wana demokrasia kuliko sisi.Nimeshangaa Uganda Bunge linafanya vetting teuzi za Rais.. nimeshangaa Sana..
Sisi tunashindwaje?
Ile nayo ni rubber stamping tu. Rais Museveni anachagua mke wake na wanapitisha tu, how comes first lady ageuke kuwa Waziri at the same time.Nimeshangaa Uganda Bunge linafanya vetting teuzi za Rais.. nimeshangaa Sana..
Sisi tunashindwaje?
mzee mimi siyo mpinzani wala sina chama cha siasa ila CCM wanazingua sana big timeHii hali ya watu kuwa Recycled ndani ya CCM inanifikirisha sana! Kuna muda nawaza nguvu za kiganga hutumika kuwapumbaza wanaoteua!
Ile nayo ni rubber stamping tu. Rais Museveni anachagua mke wake na wanapitisha tu, how comes first lady ageuke kuwa Waziri at the same time.
Ni sawa na mama Jumong amteue yule mumewe kuwa waziri π
True hapa Kuna namna nakuunga mkonoHii hali ya watu kuwa Recycled ndani ya CCM inanifikirisha sana! Kuna muda nawaza nguvu za kiganga hutumika kuwapumbaza wanaoteua!