TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Jf aiseeHii imekaaje ?
Mtu anachaguliwa nafasi fulani, anafanya baada ya muda anajiuzulu kwenda kutafuta nafasi anayoitaka mwenyewe...
Naona haters wamemultiply exponentially these days
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jf aiseeHii imekaaje ?
Mtu anachaguliwa nafasi fulani, anafanya baada ya muda anajiuzulu kwenda kutafuta nafasi anayoitaka mwenyewe...
Atakosaje kuwa na chuki wakati alitegemea kupata uteuzi baada ya kazi kubwa ya kutukana wapinzani?kaja na chuki za waziwazi ndiyo maana kakosea
Kuna tamthilia moja ya Korea inaitwa Jumong 😃😃😃 Jumong zamani ilikuwa inaonyesha ITV just Google utaona mengi zaidi.samahani. Yule jamaa wa Twitter anatumia hili jina Jumong. Chimbuko lake hili neno ni lipi? I mean jamaa jina kalitoa wapi?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dah balaaaKuna tamthilia moja ya Korea inaitwa Jumong 😃😃😃 Jumong zamani ilikuwa inaonyesha ITV just Google utaona mengi zaidi.
Mama anafananishwa maana kuna nguo flani alizivaa alipoenda Kenya zinafanana na mavazi ya wakorea kwenye hiyo tamthilia 😃😃😃
Hii hali ya watu kuwa Recycled ndani ya CCM inanifikirisha sana! Kuna muda nawaza nguvu za kiganga hutumika kuwapumbaza wanaoteua!