David Kafulila: Kwenye azimio la Dar es salaam, Rais Samia atatumia Tsh. Trilioni 33 kusambaza nishati safi ambapo Tsh. Trilioni 13 zitatoka PPP

Hongera Rais Samia
 
Tupate umeme kila Kona ya Tanzania yaani kila kitongoji kiwe na umeme
 
Mama Samia mitano tena
 
Hii ni nzuri sana
 
Ila wakuu aliyeingia huu mkata wa nishat safi sijui kutugawia mitung ya ges hajatutendea hak kabisa as a nation sion tukibenefit na upigaji huu raia anapewa mtungi ukiisha hawez kurefil tena sasa ya kaz gan
 
Bwana David Kafulila amefafanua haya "Kuhusu mpango wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kutumia Sh trilioni 33 sawa na $13bn kuwekeza kwenye nishati safi

Wanatutoza kodi kkubwa za nini kama kuna mtu ana pesa zake anatoa msaada kwa wananchi wake?

 
Kikubwa hapo ni kufungua tu biashara ya wauza gesi duniani. Ogopa Sana jambo linaloshadadiwa na wazungu
 
Tunaomba hii pesa asipewe Adani Kazi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…