Ze Bulldozer
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 1,070
- 568
Watanzania hatutaki misaada tutajitegemeaAngalieni Mzee Trump asiwasikie maana huyu babu amechafukwa kabisa na Watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania hatutaki misaada tutajitegemeaAngalieni Mzee Trump asiwasikie maana huyu babu amechafukwa kabisa na Watanzania
Hongera Rais Samia===
Akihojiwa na kituo cha utangazaji Cha ITV kwenye kipindi ya DK 45 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amefafanua haya "Kuhusu mpango wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kutumia Sh trilioni 33 sawa na $13bn kuwekeza kwenye nishati safi kati ya pesa hizo kiasi cha $5bn karibu TZS 13 Trilioni sawa 40% zitatoka sekta binafsi,PPP "
Kafulila amesema upatikanaji wa nishati safi kwa Watanzania hao 80% aliowalenga Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kutachochea maendeleo ya Viwanda na kupunguza gharama za uzalishaji na hivyo kuleta nafuu ya maisha kwa walaji wa mwisho ambao ni Wananchi,
Kafulila amesifu juhudi za Serikali ya awamu ya Sita ( 6 ) chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukamilisha Bwana la Mwl Nyerere (JNHPP) kwani limechochea upatikanaji wa Umeme wa uhakika na wa ziada na hivyo kufikia mwaka 2030 kwa kuingiza bajeti ya $13bn kama alivyoazimia Rais Samia Suluhu kwenye azimio la Dar es salaam Tanzania itakuwa na Umeme wa uhakika zaidi ifikapo mwaka 2030.
Sasa hebu Msikilize Kafulila wewe mwenyewe
View attachment 3226422
Mama Samia mitano tena===

Sio Kweli kabisaWatanzania hatutaki misaada tutajitegemea
Hii ni nzuri sana===

Ila wakuu aliyeingia huu mkata wa nishat safi sijui kutugawia mitung ya ges hajatutendea hak kabisa as a nation sion tukibenefit na upigaji huu raia anapewa mtungi ukiisha hawez kurefil tena sasa ya kaz gan===
Akihojiwa na kituo cha utangazaji Cha ITV kwenye kipindi ya DK 45 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amefafanua haya "Kuhusu mpango wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kutumia Sh trilioni 33 sawa na $13bn kuwekeza kwenye nishati safi kati ya pesa hizo kiasi cha $5bn karibu TZS 13 Trilioni sawa 40% zitatoka sekta binafsi,PPP "
Kafulila amesema upatikanaji wa nishati safi kwa Watanzania hao 80% aliowalenga Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kutachochea maendeleo ya Viwanda na kupunguza gharama za uzalishaji na hivyo kuleta nafuu ya maisha kwa walaji wa mwisho ambao ni Wananchi,
Kafulila amesifu juhudi za Serikali ya awamu ya Sita ( 6 ) chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukamilisha Bwana la Mwl Nyerere (JNHPP) kwani limechochea upatikanaji wa Umeme wa uhakika na wa ziada na hivyo kufikia mwaka 2030 kwa kuingiza bajeti ya $13bn kama alivyoazimia Rais Samia Suluhu kwenye azimio la Dar es salaam Tanzania itakuwa na Umeme wa uhakika zaidi ifikapo mwaka 2030.
Sasa hebu Msikilize Kafulila wewe mwenyewe
View attachment 3226422
Bwana David Kafulila amefafanua haya "Kuhusu mpango wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kutumia Sh trilioni 33 sawa na $13bn kuwekeza kwenye nishati safi
HatuhusuAngalieni Mzee Trump asiwasikie maana huyu babu amechafukwa kabisa na Watanzania
Mzee hapanaAngalieni Mzee Trump asiwasikie maana huyu babu amechafukwa kabisa na Watanzania
SawaKafulila salute kwake👌👌
Katunyoosha balaaAngalieni Mzee Trump asiwasikie maana huyu babu amechafukwa kabisa na Watanzania
Mimi utawala wake naukubali 100%Katunyoosha balaa
Nawewe umepiga pesa?Mimi utawala wake naukubali 100%
Tunaomba hii pesa asipewe Adani Kazi kabisa===