PostGE2025 David Kafulila: Matokeo ya tume yatasaidia katika maridhiano

PostGE2025 David Kafulila: Matokeo ya tume yatasaidia katika maridhiano

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
“Matokeo ya Tume hii ya Uchunguzi yatasaidia hata mjadala mpana wa kuridhiana, kwa sababu kuridhiana ni mchakato na ni hatua kwa hatua kuna mambo tunaridhiana kwa sasa kuna mambo yanasubiri uchunguzi huu……” David Kafulila – Amesema Mkurugenzi Mtendaji PPPC akiwa katika mahojiano na ITV


Watu wajinga kama kafulila,ni tatizo kubwa Bara la afrika
 
Tusubiri matokeo ya tume ya mchongo wakati ukweli wote unafahamika, ni upuuzi tu na kuepuka uwajibikaji
 
Back
Top Bottom