David Kafulila: Matumizi ya mbolea yameongezeka kwa 100% bajeti ya kilimo imeongezeka mara tano

Tanzania tunatatizo la watu wake kudhani wanaojua kila kitu

Haiwezekani mtu anacomment kila Uzi ,

Wajinga ni wengi sana
 
Utu na kazi
 
Tutaelewana tu
 
Sawa
 
Kazi inaendelea Kwa Utu
 
kazi nzuri bwana David
 
hili ni jambo la kweli sana ndio maana kwa pamoja tunasema OCT TUNATIKI
 
Huku kwao Uvinza mbolea haionekani wanalima kizamani labda anawadanganya wa Dar
 
Kazi na Uti
 
Kazi n utu
 
Kuna uwezekano Samia akiondoka madarakani haya yote yakaachwa na miradi iliyoanza ikaharibika na kilo kikarudi kilikokuwa kabla ya Samia.

Nitakuwa hapa kuwakumbusha

View: https://www.instagram.com/reel/DMLoPPGtg5s/?igsh=MXZrOGJlY3U5NTg4dg==
 
Hizi ndizo sababu 5 kwanini tumchague Rais Samia:


  1. Kiongozi mwenye dira na hekima – Ameonyesha uongozi wa utulivu, busara na maamuzi yenye kulinda maslahi ya Watanzania.
  2. Mageuzi ya kiuchumi – Amefungua Tanzania kimataifa, kuongeza uwekezaji na kusimamia miradi mikubwa ya kimkakati inayoongeza ajira na mapato ya taifa.
  3. Kuboresha huduma za jamii – Amewekeza kwenye elimu bila ada, afya bora, maji safi na nishati vijijini ili kuinua maisha ya wananchi.
  4. Kuimarisha mshikamano wa kitaifa – Ni kiongozi anayeunganisha Watanzania, kusikiliza sauti za wananchi na kushirikisha makundi yote katika maamuzi ya kitaifa.
  5. Ushirikiano wa kimataifa – Ameimarisha diplomasia ya uchumi na heshima ya Tanzania duniani, kuifanya nchi yetu kuwa kitovu cha fursa na maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…