David Kafulila: Matumizi ya mbolea yameongezeka kwa 100% bajeti ya kilimo imeongezeka mara tano

Nchi yenye Ng'ombe zaidi ya mil. 60 halafu wanashindwa kuweka mkakati wa kutumia mbolea ya asili kuleta mapinduzi ya kilimo kwa gaharama nafuu tunakua sawa na Nchi zisizo na ng'ombe .

Mbolea zinazopatikana kwenye machinjio zingefanyiwa utafiti wa kuongezewa virutubisho fulani kisha zipakiwe kwenye mifuko na kuuzwa hata sh. elf tano kwa kilgram 50 watu wazitumie kwenye kilimo cha mboga mboga na maharage . Badala yake kuna biashara ya kifisadi ya kuagiza mbolea ya chumvichumvi ndiyo inayowapa mashavu akina Kafulila huku serikali na wakulima wadogo wakibaki na madeni ya gharama kubwa zambole na kujaza makemikali kwenye mazao .

Kafulila amegauka Chawa wa kiuchumi duniani na dalali wa kuuza rasilimali zetu .
Umeongea point muhimu sana mkuu kwenye hili
 
F*cking clowns.
Mbolea pekee iliyoongezeka matumizi ni iliyo kwenye puny brains zao
 
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amekaririwa akisema namnukuu,
" Bajeti ya kilimo imeongezeka kutoka TZS400bn mpaka TZS1.9Trilioni sawa karibu na mara tano" alisema Kwa msisitizo.

David Kafulila anasema ukitaka kupunguza umasikini kama anavyofanga Rais Samia Suluhu Hassan lazima uwekeze huduma bora vijiji pamoja na kwenye Sekta ambayo inajumuisha watu wengi hasa maeneo ya vijijini na Mjini.

David Kafulila anatolea mfano kwenye sekta ya kilimo Tanzania ambayo inategemewa na Watanzania zaidi ya 65% hivyo yoyote mwenye nia njema na Tanzania kama ilivyo Kwa Rais Samia lazima awekeze kwenye kilimo kama anavyofanya mama huyu.

David Kafulila anasema leo Tanzania matumizi ya mbolea yameongezeka kutoka tani zisizofikia laki sita ( 600,000 ) Hadi kufikia tani milioni moja na laki mbili, (1,200) ambazo ni sawa na ongezeko la asilimia mia moja (100%) jambo ambalo hatujawahi kulishuhudia tangu uhuru wa nchi yetu na kwakufanga hivyo tayari ameongeza uzalishaji wamazao mbalimbali na hivyo kukuza uchumi vijiji.
==

David Kafulila anasema Matumizi ya Mbolea Tanzania yameongezeka Kwa 100% huku bajaeti ya kilimo nayo ikiongezeka mara tano zaidi hii ni chini ya mama Samia Suluhu Hassan.​

==
Sasa msikilize mpaka mwisho utaelewa zaidi.

View attachment 3356561

==
Cde Kafulila anapambana mno alone
 
Hongera Bashe na Rais Samia
 
Sawa
 
Huyu jamaa ndio angalau anawapa nguvu CCM baada ya kubanwa
 
Back
Top Bottom