Mshindi wa Vita
JF-Expert Member
- Mar 5, 2025
- 315
- 139
CCM hapa ililamba dumeBravo Kafulila kazi nzuri sana CÇM

Unataka akuoe kila siku wewe hoja ni mojawapi Jexa? Mrudishe kwanza ndio tukuamini 😀😀
Ila huyu ni Mrundi hata hivyo ila hoja anazo sana tu==
Mkurugenzi Mtendaji David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV kwenye kipindi maarufu zaidi cha DK 45 amefafanua Kwa kina hoja ya kwanini Kasi ya kukua Kwa uchumi haiendani na Kasi ya kupungua Kwa umasikini wa Watanzani.
Kafulila anaaza kusema kuwa " Awamu ya sita imepunguza umasikini kwa Kasi"
Anasema kwanza ili kupunguza umasikini lazima ufahamu ni tabaka lipi la wananchi wako wengi wanaangukia kwenye kundi hili la Umasikini Kwa wingi wakati hapa Tanzania tabaka la watu masikini zaidi linaishi vijijini ambao miongoni mwao zaidi ya asilimia sitini na tano wanategemea kilimo katika dhana pana Kwa maana ya kilimo, Mifugo na Misitu.
Mkurugenzi Kafulila anasema lengo mojawapo la Serikali ya awamu ya sita (6) chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ni kuongeza Kasi zaidi katika kupunguza umasikini wa Watanzania ndio maana imewekeza zaidi vijijini na maeneo yote yanayogusa vijijini na wamefanya hivyo sio kwa bahati mbaya.
Kitendo Cha Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuongeza bajeti ya kilimo kutoka Shilingi bilioni mia nne hadi kufikia Shilingi trilioni mbili inalenga kuufungamanisha huu ukuaji wa Uchumi na watu wake ambao zaidi wanategemea kilimo na wengi wao wako vijijini..
Anasema unapowekeza vizuri kwenye miondombinu ya maji, Umeme, afya, kilimo, mifugo, Misitu kufanya maeneo ya vijijini yaweze kufanya shughuli za maendeleo Kwa urahisi mfano Leo Serikali ya awamu ya sita imeongeza umeme kwenye zaidi ya vijijini elfu mbili hii inalenga kuongeza uzalishaji zaidi vijijini lakini si hivyo tu Serikali ya awamu ya sita imevifungua zaidi vijijini kwa barabara zinazojengwa na TARURA ambao nao wameongezewa bajeti Kwa zaidi ya mara tano vile vile Serikali ya awamu ya sita imeongeza kiasi cha mbolea vijiji karibu marambili Ili kuongeza tija kwenye kilimo Kwa dhana pana nia ni kuongeza uzalishaji na mwisho kukuza Uchumi wa mtu mmoja mmoja.
Kafulila anaendelea mbele Kwa kusema shughuli zote hizi za Ujenzi wa Barabara, Uongezaji wa bajeti ya Mbole na TARURA, Usamabazaji wa Umeme vijiji, lengo lake ni kuchochoa maendeleo na ukuaji ya vipato vijijini ( Rural Development Plan ) na kwakufanya hivyo Serikali itakuwa imewafikia wananchi waliowengi na hivyo kufanya muunganiko kati ya ukuaji wa Uchumi na maendeleo ya watu walio wengi hasa vijijini kutatoa matokeo ya kupunguza Umasikini Kwa dhana pana na hivyo Uchumi huu utakuwa jumuishi kwani kila mmoja atakuwa na maisha mazuri na hivyo swali kwamba uchumi umekuaje au umekua Kwa kiasi gani halitakuwepo.
==
Hata kama ni muha wote ni WatanzaniaIla huyu ni Mrundi hata hivyo ila hoja anazo sana tu
Wewe unamjua zaidi ya wazazi wake?😂Ila huyu ni Mrundi hata hivyo ila hoja anazo sana tu
Matako yakeView attachment 3357992

Jibu hoja zake acheni kujibalaguza hapa na kuzungusha zungusha sketiwapi Jexa? Mrudishe kwanza ndio tukuamini 😀😀
Wewe huna,,😂Matako yake
😁😁Unafunga tumbili?
Kazi hii inamalipo?Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amekaririwa akisema namnukuu,
" Bajeti ya kilimo imeongezeka kutoka TZS400bn mpaka TZS1.9Trilioni sawa karibu na mara tano" alisema Kwa msisitizo.
David Kafulila anasema ukitaka kupunguza umasikini kama anavyofanga Rais Samia Suluhu Hassan lazima uwekeze huduma bora vijiji pamoja na kwenye Sekta ambayo inajumuisha watu wengi hasa maeneo ya vijijini na Mjini.
David Kafulila anatolea mfano kwenye sekta ya kilimo Tanzania ambayo inategemewa na Watanzania zaidi ya 65% hivyo yoyote mwenye nia njema na Tanzania kama ilivyo Kwa Rais Samia lazima awekeze kwenye kilimo kama anavyofanya mama huyu.
David Kafulila anasema leo Tanzania matumizi ya mbolea yameongezeka kutoka tani zisizofikia laki sita ( 600,000 ) Hadi kufikia tani milioni moja na laki mbili, (1,200) ambazo ni sawa na ongezeko la asilimia mia moja (100%) jambo ambalo hatujawahi kulishuhudia tangu uhuru wa nchi yetu na kwakufanga hivyo tayari ameongeza uzalishaji wamazao mbalimbali na hivyo kukuza uchumi vijiji.
==
David Kafulila anasema Matumizi ya Mbolea Tanzania yameongezeka Kwa 100% huku bajaeti ya kilimo nayo ikiongezeka mara tano zaidi hii ni chini ya mama Samia Suluhu Hassan.
==
Sasa msikilize mpaka mwisho utaelewa zaidi.
View attachment 3356561
==
Tatizo lako urundi tuMkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amekaririwa akisema namnukuu,
" Bajeti ya kilimo imeongezeka kutoka TZS400bn mpaka TZS1.9Trilioni sawa karibu na mara tano" alisema Kwa msisitizo.
David Kafulila anasema ukitaka kupunguza umasikini kama anavyofanga Rais Samia Suluhu Hassan lazima uwekeze huduma bora vijiji pamoja na kwenye Sekta ambayo inajumuisha watu wengi hasa maeneo ya vijijini na Mjini.
David Kafulila anatolea mfano kwenye sekta ya kilimo Tanzania ambayo inategemewa na Watanzania zaidi ya 65% hivyo yoyote mwenye nia njema na Tanzania kama ilivyo Kwa Rais Samia lazima awekeze kwenye kilimo kama anavyofanya mama huyu.
David Kafulila anasema leo Tanzania matumizi ya mbolea yameongezeka kutoka tani zisizofikia laki sita ( 600,000 ) Hadi kufikia tani milioni moja na laki mbili, (1,200) ambazo ni sawa na ongezeko la asilimia mia moja (100%) jambo ambalo hatujawahi kulishuhudia tangu uhuru wa nchi yetu na kwakufanga hivyo tayari ameongeza uzalishaji wamazao mbalimbali na hivyo kukuza uchumi vijiji.
==
David Kafulila anasema Matumizi ya Mbolea Tanzania yameongezeka Kwa 100% huku bajaeti ya kilimo nayo ikiongezeka mara tano zaidi hii ni chini ya mama Samia Suluhu Hassan.
==
Sasa msikilize mpaka mwisho utaelewa zaidi.
View attachment 3356561
==
Tumekuchoka na swaga zago za kibaguziTatizo lako urundi tu
Tuongeze bidiiiMkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amekaririwa akisema namnukuu,
" Bajeti ya kilimo imeongezeka kutoka TZS400bn mpaka TZS1.9Trilioni sawa karibu na mara tano" alisema Kwa msisitizo.
David Kafulila anasema ukitaka kupunguza umasikini kama anavyofanga Rais Samia Suluhu Hassan lazima uwekeze huduma bora vijiji pamoja na kwenye Sekta ambayo inajumuisha watu wengi hasa maeneo ya vijijini na Mjini.
David Kafulila anatolea mfano kwenye sekta ya kilimo Tanzania ambayo inategemewa na Watanzania zaidi ya 65% hivyo yoyote mwenye nia njema na Tanzania kama ilivyo Kwa Rais Samia lazima awekeze kwenye kilimo kama anavyofanya mama huyu.
David Kafulila anasema leo Tanzania matumizi ya mbolea yameongezeka kutoka tani zisizofikia laki sita ( 600,000 ) Hadi kufikia tani milioni moja na laki mbili, (1,200) ambazo ni sawa na ongezeko la asilimia mia moja (100%) jambo ambalo hatujawahi kulishuhudia tangu uhuru wa nchi yetu na kwakufanga hivyo tayari ameongeza uzalishaji wamazao mbalimbali na hivyo kukuza uchumi vijiji.
==
David Kafulila anasema Matumizi ya Mbolea Tanzania yameongezeka Kwa 100% huku bajaeti ya kilimo nayo ikiongezeka mara tano zaidi hii ni chini ya mama Samia Suluhu Hassan.
==
Sasa msikilize mpaka mwisho utaelewa zaidi.
View attachment 3356561
==
Hayo ni mashamba ya sirikali au ya watu Binafsi?Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amekaririwa akisema namnukuu,
" Bajeti ya kilimo imeongezeka kutoka TZS400bn mpaka TZS1.9Trilioni sawa karibu na mara tano" alisema Kwa msisitizo.
David Kafulila anasema ukitaka kupunguza umasikini kama anavyofanga Rais Samia Suluhu Hassan lazima uwekeze huduma bora vijiji pamoja na kwenye Sekta ambayo inajumuisha watu wengi hasa maeneo ya vijijini na Mjini.
David Kafulila anatolea mfano kwenye sekta ya kilimo Tanzania ambayo inategemewa na Watanzania zaidi ya 65% hivyo yoyote mwenye nia njema na Tanzania kama ilivyo Kwa Rais Samia lazima awekeze kwenye kilimo kama anavyofanya mama huyu.
David Kafulila anasema leo Tanzania matumizi ya mbolea yameongezeka kutoka tani zisizofikia laki sita ( 600,000 ) Hadi kufikia tani milioni moja na laki mbili, (1,200) ambazo ni sawa na ongezeko la asilimia mia moja (100%) jambo ambalo hatujawahi kulishuhudia tangu uhuru wa nchi yetu na kwakufanga hivyo tayari ameongeza uzalishaji wamazao mbalimbali na hivyo kukuza uchumi vijiji.
==
David Kafulila anasema Matumizi ya Mbolea Tanzania yameongezeka Kwa 100% huku bajaeti ya kilimo nayo ikiongezeka mara tano zaidi hii ni chini ya mama Samia Suluhu Hassan.
==
Sasa msikilize mpaka mwisho utaelewa zaidi.
View attachment 3356561
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amekaririwa akisema namnukuu,