David Kafulila: Miaka 25 ijayo Serikali itajenga Uchumi wa $700bn. Pato la kila mmoja wetu litafikia TZS 20M

David Kafulila: Miaka 25 ijayo Serikali itajenga Uchumi wa $700bn. Pato la kila mmoja wetu litafikia TZS 20M

David Kafulila: Miaka 25 ijayo CCM itajenga Uchumi wa $700bn. Pato la kila mmoja wetu litafikia TZS 20M
Kwani DiRa inayoongelewa ni ya Taifa au ni ya mbogamboga?!

Maana kama ni ya mbogamboga itakuwa Feki kama kawaida
 
===
Mkurugenzi wa Ubia nchi Tanzània Mhe David Kafulila amewaeleza Watanzania lazima wajue ya kuwa kesho ya Tanzània yao ni bora kama hali itaendelea kuwa ilivyo leo.

Kafulila anasema Tanzania kwa kushirikiana na sekta binafsi PPPP ya ndani au nje ya Tanzania wanaipeleka Tanzania kwenye Uchumi wa viwango vya juu kama walivyoainisha kwenye Dira ya Taifa ya Maendeleo kwa miaka 25 ijayo,

David Kafulila amekuwa ni Mtendaji na mwanasiasa anayejikita kwenye kutetea hoja zake kwa namba na fact zenye kueleweka na watu wa Kada zote,


Msikilize vizuri mtaalamu huyu mpaka Mwisho
View attachment 3196797
Huyu kwa jinsi anavyozidi kulishwa asali na ccm, anazidi kupanuka "chini" Mishuzi inatoka tu kila akiongea, milioni 20 kwa mwaka ni nini, ni sawa na 1.67milioni kwa mwezi! Ni pesa kiduchu Sana bado upo maskini, umechangamka tu,
Kenge kabisa, hicho kipato ili bidi tuwe nacho miaka 30 iliyopita, shida ni wizi wa ccm
 
Kweli wanasiasa ni zigo la Taifa
Tangu Uhuru mpaka leo zaidi ya ongezeko la watu na wanyama nini zaidi tumepata
Wanawaza kugawana wao miaka 25 mingine
Kumbe chama kitakuwepo milele
 
Ni swali la maana na linaonyesha wasiwasi juu ya uwezo wa CCM kufikia malengo makubwa ya kiuchumi baada ya miaka zaidi ya 60 ya utawala. Hapa kuna vidokezo kadhaa kuhusu hali hiyo:

1. Historia ya Utawala wa CCM
CCM imekuwa madarakani tangu uhuru wa Tanzania mwaka 1961. Katika kipindi hiki, kumekuwa na mafanikio kwenye sekta fulani, lakini pia changamoto nyingi, ikiwemo umaskini, ukosefu wa ajira, na usimamizi duni wa rasilimali.

2. Mikakati na Utekelezaji
Ingawa CCM imeweka mikakati mbalimbali, utekelezaji wake umekuwa na dosari. Kama historia inaonyesha, baadhi ya mipango haijafanikiwa kutokana na ukosefu wa rasilimali, urasimu, na ufisadi.

3. Mabadiliko ya Kiuchumi
Katika miaka 25 ijayo, dunia inatarajiwa kuendelea kubadilika. Teknolojia, mabadiliko ya hali ya hewa, na changamoto za kijamii zinaweza kuathiri uwezo wa nchi kufikia malengo yake. Ni muhimu kujifunza kutoka kwa makosa ya zamani na kuzingatia mazingira yanayobadilika.

4. Ushirikiano wa Sekta Binafsi
Kama CCM itashindwa kuvutia sekta binafsi na kushirikiana nayo, malengo haya yanaweza kuwa magumu kufikiwa. Ushirikiano wa dhati na sekta binafsi ni muhimu katika kuleta maendeleo endelevu.

5. Matarajio Halisi
Ni muhimu kuwa na matarajio halisi kuhusu maendeleo. Kama CCM haijafanikiwa katika miaka 60 iliyopita, ni vigumu kuamini kuwa wataweza kufanya hivyo kwa kipindi kifupi kama miaka 25 bila mabadiliko makubwa katika sera na usimamizi.

Hitimisho
Hivyo, kuna sababu za msingi za kuhoji uwezo wa CCM kufikia malengo haya ya kiuchumi. Ni muhimu kwa viongozi wa kisiasa na wananchi kuweka shinikizo ili kuhakikisha kwamba mipango ya maendeleo inatekelezwa kwa ufanisi na kwa uwazi.
 
===
Mkurugenzi wa Ubia nchi Tanzània Mhe David Kafulila amewaeleza Watanzania lazima wajue ya kuwa kesho ya Tanzània yao ni bora kama hali itaendelea kuwa ilivyo leo.

Kafulila anasema Tanzania kwa kushirikiana na sekta binafsi PPPP ya ndani au nje ya Tanzania wanaipeleka Tanzania kwenye Uchumi wa viwango vya juu kama walivyoainisha kwenye Dira ya Taifa ya Maendeleo kwa miaka 25 ijayo,

David Kafulila amekuwa ni Mtendaji na mwanasiasa anayejikita kwenye kutetea hoja zake kwa namba na fact zenye kueleweka na watu wa Kada zote,


Msikilize vizuri mtaalamu huyu mpaka Mwisho
View attachment 3196797
3rd part wa Adani Group.
 
  • Kicheko
Reactions: Ame
Nakumbuka 2000 wakati wa Mkapa walitoa projection ya maendeleo ya Tanzania kwa miaka 25 ijayo(2025), hopes were very high, promises were made, Tanzania would be the new Switzerland, ona sasa kiko wapi...hadi leo matundu ya vyoo ni mtihani mkubwa kwa watawala, matundu ya vyoo, can you imagine!!
Acha ku undermine wenzako buana...Vision target yake ilifikishwa 5 years earlier na awamu ya Tano na Awamu ya Sita inaendeleza ndiyo sababu unaona shida ya umeme imefikia tamati, na umeme Tumekaribia asilimia 80 kuusambaza Kwa watanzania...
 
Acha ku undermine wenzako buana...Vision target yake ilifikishwa 5 years earlier na awamu ya Tano na Awamu ya Sita unaendelea ndiyo ababu unaona shida ya umeme imefikia tamati, na umeme Tumekaribia asilimia 80 Kwa watanzania...
Anaandika huku kalala
 
Back
Top Bottom