David Kafulila: Miaka 25 ijayo Serikali itajenga Uchumi wa $700bn Tanzania itakuwa karibu marambili ya Africa ya Kusini

Je, kuna ushirikiano na mikakati gani na sekta binafsi katika utekelezaji wa mikakati?

View attachment 3199594
===
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchi Tanzània PPPC Mhe David Kafulila amewaeleza Watanzania lazima wafahamu kesho ya Tanzània yao ni bora kama tu hali ya Umoja na mshikamamo iliyopo Sasa itaendelea kuwa ilivyo leo.

David Kafulila anasema, Tanzania kwa kushirikiana na sekta binafsi ( PPP) toka ndani au nje ya Tanzania wataipeleka kwa Kasi Tanzania kwenye Uchumi wa viwango vya juu kama ilivyoainishwa kwenye Dira ya Taifa ya Maendeleo kwa miaka 25 ijayo ( 2025-2050 )

Mtakumbuka, David Kafulila amekuwa ni Mtendaji na mwanasiasa anayejikita zaidi kwenye kutetea hoja za Serikali yake kwa namba|takwimu na "fact" zenye kueleweka na watu wa Kada zote kitu kinachomfanya awe ni Mtendaji wa Serikali anayefuatiliwa zaidi mitandaoni na. Wananchi kwa sasa.

Mkurugenzi Mtendaji huyu anasema Tanzània mpaka kufikia mwaka 2050 kwa kushirikiana na PPP inatarajia kujenga Uchumi mkubwa zaidi wa $700bn ambazo ni zaidi ya TZS 1,750 Trilioni ambao ni karibu mara mbili ya Uchumi wote wa Africa ya Kusini ya leo ambao unafikia i karibu $380bn.

Kafulila anasema si kazi rahisi kujenga Uchumi wa $700bn kutoka Uchumi wa sasa wa Tanzania wa $85bn kwani ni kazi ambayo kamwe haiwezi ikatekelezwa kwa Kodi na Mikopo pekee hivyo sekta binafsi haiepukiki kwenye safari hii ya ujenzi wa Uchumi mkubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 25.

Mkurugenzi Mtendaji huyu anaendelea kwa kusema jambo hili linawezekana bila mashaka yoyote kwani hata nchi ya Vietnam mwaka 1990 ilikuwa na Uchumi wa $6.4bn lakini leo Vietnam wana Uchumi wa zaidi ya $460bn sawa na ukuaji wa karibu mara themanini (X 80) zaidi.

HITIMISHO, Kama hivyo ndivyo ilivyo kwanini Tanzania tusiweze wakati Vietnam wao wameweza kwani wao Wana nini?

View attachment 3196797

====
Tanzània tukiacha chuki tuko vizuri sana
 
Why 25 years to come, what are the SMART goals settings

Goals must be realistic meaningful and measurable

Je ule mpango wa CCM, maono ya 2025 uliishia wapi, tanzania_development_vision_2025
 
Matarajio kwenye mambo ya kiuchumu ni muhun sana
 
Tanzania tuna mipango mizuri sana kwenye makaratasi kama vile tulivyo ushangilia mpango wa maono 2025, toka ulipoanzishwa Hadi 2025, ni kifo cha mende
Tanzania development Vision 2025 umekufa kifo cha mende ndiyo maana nimeongelea SMART goal setting
 
Huyu kenge tangu apate sehemu ya kunenepesha makalio, amekuwa anaongea pumba Sana.
 
Sema braza K siku hizi sijui amekumbwa na nini! Kila uchao haishi kuota ndoto za mchana.
 
Tanzania tuna mipango mizuri sana kwenye makaratasi kama vile tulivyo ushangilia mpango wa maono 2025, toka ulipoanzishwa Hadi 2025, ni kifo cha mende
Tanzania development Vision 2025 umekufa kifo cha mende ndiyo maana nimeongelea SMART goal setting
Smart Goals ndio hii sasa
 
View attachment 3199594
===
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchi Tanzània PPPC Mhe David Kafulila amewaeleza Watanzania lazima wafahamu kesho ya Tanzània yao ni bora kama tu hali ya Umoja na mshikamamo iliyopo Sasa itaendelea kuwa ilivyo leo.

David Kafulila anasema, Tanzania kwa kushirikiana na sekta binafsi ( PPP) toka ndani au nje ya Tanzania wataipeleka kwa Kasi Tanzania kwenye Uchumi wa viwango vya juu kama ilivyoainishwa kwenye Dira ya Taifa ya Maendeleo kwa miaka 25 ijayo ( 2025-2050 )

Mtakumbuka, David Kafulila amekuwa ni Mtendaji na mwanasiasa anayejikita zaidi kwenye kutetea hoja za Serikali yake kwa namba|takwimu na "fact" zenye kueleweka na watu wa Kada zote kitu kinachomfanya awe ni Mtendaji wa Serikali anayefuatiliwa zaidi mitandaoni na. Wananchi kwa sasa.

Mkurugenzi Mtendaji huyu anasema Tanzània mpaka kufikia mwaka 2050 kwa kushirikiana na PPP inatarajia kujenga Uchumi mkubwa zaidi wa $700bn ambazo ni zaidi ya TZS 1,750 Trilioni ambao ni karibu mara mbili ya Uchumi wote wa Africa ya Kusini ya leo ambao unafikia i karibu $380bn.

Kafulila anasema si kazi rahisi kujenga Uchumi wa $700bn kutoka Uchumi wa sasa wa Tanzania wa $85bn kwani ni kazi ambayo kamwe haiwezi ikatekelezwa kwa Kodi na Mikopo pekee hivyo sekta binafsi haiepukiki kwenye safari hii ya ujenzi wa Uchumi mkubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 25.

Mkurugenzi Mtendaji huyu anaendelea kwa kusema jambo hili linawezekana bila mashaka yoyote kwani hata nchi ya Vietnam mwaka 1990 ilikuwa na Uchumi wa $6.4bn lakini leo Vietnam wana Uchumi wa zaidi ya $460bn sawa na ukuaji wa karibu mara themanini (X 80) zaidi.

HITIMISHO, Kama hivyo ndivyo ilivyo kwanini Tanzania tusiweze wakati Vietnam wao wameweza kwani wao Wana nini?

View attachment 3196797

====
Sawa bwana 2mbili Vipi kuhusu mamdogo Jesca?
 
Sawa bwana 2mbili Vipi kuhusu mamdogo Jesca😂😂
 
Hata wakikosea wakakupa U-PM utakufaa tu
 
Nakumbuka 2000 wakati wa Mkapa walitoa projection ya maendeleo ya Tanzania kwa miaka 25 ijayo(2025), hopes were very high, promises were made, Tanzania would be the new Switzerland, ona sasa kiko wapi...hadi leo matundu ya vyoo ni mtihani mkubwa kwa watawala, matundu ya vyoo, can you imagine!!
Kila unachokiona Leo ni reflection ya Dira ya 2000 nadhani hapo tuko pamoja
 
Why 25 years to come, what are the SMART goals settings

Goals must be realistic meaningful and measurable

Je ule mpango wa CCM, maono ya 2025 uliishia wapi, tanzania_development_vision_2025
Nadhani haya tunayoyaona ni matokeo yake
 
Back
Top Bottom