Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,535
- 2,226
KAFULILA ANASEMA MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO.
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amefafanua kuwa Tanzania tangu iwe huru ilifanikiwa kuwa na hekta laki tano ( 500,000 ) kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji, Lakini maajabu ni miaka hii minne tu ya Rais Samia hekta hizi zimeongezeka na kufikia jumla ya hekta laki tisa ( 900,000 ) ikiwa ni sawa na ongezeko la hekta mpya laki nne ( 400,000 ) ambazo ni karibu sawa na ongezeko la 50% ya kilichofanyika tangu tupate uhuru wetu December 1961.
Mkurugenzi David Kafulila anaendelea Kwa kusema kilimo kinategemewa na zaidi ya 65% ya Watanzania hivyo kitendo cha Rais Samia kuwekeza zaidi kwenye kilimo kitasaidia kupunguza umasikini hasa vijijini na mijini.
Kafulila anaendelea mbele Kwa kusema siku zote na kwa miaka mingi Tanzania tumezungumzia kuwa na kilimo cha uhakika, kilimo ambacho hakitategemea sana mvua lakini hatukufanikiwa sana ila wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan Serikali imevunja rekodi na hii inatafsiri pana ya maisha ya kijamii hususani kwenye maendeleo endelevu ya watu vijijini na mijini.
==
Mimi Kafulila nakumbuka akiwa Mkuu wa Mkoa Simiyu mkoa ambao zaidi ya asilimia 60% ya pamba inazalishwa huko, mbali na kusimamia uwajibikaji watendaji wa serikali alianzisha mfumo wa ununuzi wa pamba maarufu kama Simiyu cotton model ambao ulidhibiti wizi wa ushirika kwa kuwaondolea monopoly ktk ununuzi wa pamba na kufanya ununuzi kuwa huria kwa mkulima kuuzia ama ushirika au wanunuzi binafsi, uamuzi uliosababisha bei ya pamba kufikia 2000/= kwa kilo, bei ambayo haikuwahi kufikiwa ktk historia ya pamba ...SASA huyu jamaa tangu ameingia PPP iliyoanza tangu wakati wa JK mwaka 2009, lakn mabadiliko na mjadala wa PPP nikama vile imeanza na Kafulila. Mwamko wa Umma, Serikali na Sekta Binafsi sasa ni PPP ndio habari nzima.
Hii tunajua sema jingineMimi Kafulila nakumbuka akiwa Mkuu wa Mkoa Simiyu mkoa ambao zaidi ya asilimia 60% ya pamba inazalishwa huko, mbali na kusimamia uwajibikaji watendaji wa serikali alianzisha mfumo wa ununuzi wa pamba maarufu kama Simiyu cotton model ambao ulidhibiti wizi wa ushirika kwa kuwaondolea monopoly ktk ununuzi wa pamba na kufanya ununuzi kuwa huria kwa mkulima kuuzia ama ushirika au wanunuzi binafsi, uamuzi uliosababisha bei ya pamba kufikia 2000/= kwa kilo, bei ambayo haikuwahi kufikiwa ktk historia ya pamba ...
Mi mwenyewe nashangaa hizo hekari laki tisa ziko wapi labda?Unapozungumzia umwagiliaji , usituletee wale watu wanaolima karibu na maziwa au mito ambao huenda kuchota maji kwa ndoo na kumwagilia mazao yao .Huko nadhani tumetoka kitambo .Je Tanzania kuna mashine za kutosha za umwagiliaji kwenye mashamba yetu.Watu wanalima mazao ya kutosha na kusafirisha nje
Anataka vyoteKafulila unajitahidi sana kujipakulia minyama ni kubadili id tu.
Ni uwaziri au urais unawania?
Aulizwe msomaliaMi mwenyewe nashangaa hizo hekari laki tisa ziko wapi labda?
Kwakweli sio kwa fujo hiziAnataka vyote
Duuuh😂😂Kwakweli sio kwa fujo hizi
Mwananchi Huru - kafulila
Financial Intelligence -kagulila
Five55 - kafulila
Kafulila apewe urais
Mfano ni mradi gani Mkuu Wangu?Huyu ndio anapotosha, hadi mtu anasema tuko vizuri ukuaji kiuchumi kuliko tonakoenda kukopa na kuomba misaada, data tu, uhalisia hamna, tembelea maeneo tajwa, utekelezaji 20% na mradi huko nyuma ya muda, achana na data za kupika, umekalia dawati unalopoka!
Acha madharau Kafulila ni Mtu anajiamini na kujisimamia sanaHatimaye Kafulila kafikiwa na msomali
Kafulila naona anapiga spana za nguvu sanaKAFULILA ANASEMA MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO.
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amefafanua kuwa Tanzania tangu iwe huru ilifanikiwa kuwa na hekta laki tano ( 500,000 ) kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji, Lakini maajabu ni miaka hii minne tu ya Rais Samia hekta hizi zimeongezeka na kufikia jumla ya hekta laki tisa ( 900,000 ) ikiwa ni sawa na ongezeko la hekta mpya laki nne ( 400,000 ) ambazo ni karibu sawa na ongezeko la 50% ya kilichofanyika tangu tupate uhuru wetu December 1961.
Mkurugenzi David Kafulila anaendelea Kwa kusema kilimo kinategemewa na zaidi ya 65% ya Watanzania hivyo kitendo cha Rais Samia kuwekeza zaidi kwenye kilimo kitasaidia kupunguza umasikini hasa vijijini na mijini.
Kafulila anaendelea mbele Kwa kusema siku zote na kwa miaka mingi Tanzania tumezungumzia kuwa na kilimo cha uhakika, kilimo ambacho hakitategemea sana mvua lakini hatukufanikiwa sana ila wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan Serikali imevunja rekodi na hii inatafsiri pana ya maisha ya kijamii hususani kwenye maendeleo endelevu ya watu vijijini na mijini.
==
😋 Nimecheka sanaKafulila unajitahidi sana kujipakulia minyama ni kubadili id tu.
Ni uwaziri au urais unawania?
Kazi nzuri sana Mama SamiaKAFULILA ANASEMA MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO.
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amefafanua kuwa Tanzania tangu iwe huru ilifanikiwa kuwa na hekta laki tano ( 500,000 ) kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji, Lakini maajabu ni miaka hii minne tu ya Rais Samia hekta hizi zimeongezeka na kufikia jumla ya hekta laki tisa ( 900,000 ) ikiwa ni sawa na ongezeko la hekta mpya laki nne ( 400,000 ) ambazo ni karibu sawa na ongezeko la 50% ya kilichofanyika tangu tupate uhuru wetu December 1961.
Mkurugenzi David Kafulila anaendelea Kwa kusema kilimo kinategemewa na zaidi ya 65% ya Watanzania hivyo kitendo cha Rais Samia kuwekeza zaidi kwenye kilimo kitasaidia kupunguza umasikini hasa vijijini na mijini.
Kafulila anaendelea mbele Kwa kusema siku zote na kwa miaka mingi Tanzania tumezungumzia kuwa na kilimo cha uhakika, kilimo ambacho hakitategemea sana mvua lakini hatukufanikiwa sana ila wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan Serikali imevunja rekodi na hii inatafsiri pana ya maisha ya kijamii hususani kwenye maendeleo endelevu ya watu vijijini na mijini.
==
DaaahKAFULILA ANASEMA MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO.

Ukiwa mtoto, unakuwa unavalishwa kasuruali kadogo. Ukiwa mkubwa , unakuwa unavaa suruali kubwa.KAFULILA ANASEMA MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO.
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amefafanua kuwa Tanzania tangu iwe huru ilifanikiwa kuwa na hekta laki tano ( 500,000 ) kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji, Lakini maajabu ni miaka hii minne tu ya Rais Samia hekta hizi zimeongezeka na kufikia jumla ya hekta laki tisa ( 900,000 ) ikiwa ni sawa na ongezeko la hekta mpya laki nne ( 400,000 ) ambazo ni karibu sawa na ongezeko la 50% ya kilichofanyika tangu tupate uhuru wetu December 1961.
Mkurugenzi David Kafulila anaendelea Kwa kusema kilimo kinategemewa na zaidi ya 65% ya Watanzania hivyo kitendo cha Rais Samia kuwekeza zaidi kwenye kilimo kitasaidia kupunguza umasikini hasa vijijini na mijini.
Kafulila anaendelea mbele Kwa kusema siku zote na kwa miaka mingi Tanzania tumezungumzia kuwa na kilimo cha uhakika, kilimo ambacho hakitategemea sana mvua lakini hatukufanikiwa sana ila wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan Serikali imevunja rekodi na hii inatafsiri pana ya maisha ya kijamii hususani kwenye maendeleo endelevu ya watu vijijini na mijini.
==
Bavicha hamna hoja kabisa siku hizi,
Kafulila anatoa uchambuzi wa jumla jumla juu ya Serikali
SAMIA MITANO TENAKAFULILA ANASEMA MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO.